Bajeti ya Yanga ni Tsh. Bilioni 24.5

Bajeti ya Yanga ni Tsh. Bilioni 24.5

Kuna msemo unasema zako tia maji mwenzako akinyolewa.
 
Kwa ambao hawajazifuatilia simba na yanga angalau kwa miaka 15 iliyopita wataisifia sana yanga. Lakini ukweli ni kwamba yanga hakuna cha maana, kwa sasa viongozi wanajificha nyuma ya mafanikio haya yanayopatikana. Siku yakikoma na mazingira ya kisiasa yakawa hayako upande wao ndo mtajua kwamba simba na yanga ni mashamba ya bibi tu.
Afu kweli masta
 
Back
Top Bottom