Bajeti yetu iko tayari, kwanini tuwasubiri Kenya na Uganda tusome pamoja tarehe 11 Juni? Wabunge watalipwa posho bila kufanya kazi?

Kwaio wao wanataka wafanyabiashara wapate hasara? Faida ipi hio iainishe?
 
Wapinzani hawa wanaolia bungeni na kuomba CCM iwapokee?!!
 
Tatizo wabunge wa ccm 90% nivilaza

Inaonekana ulivyo kilaza zaidi, huwezi kutoa hoja ya kujenga nchi yako bali unapenda udaku, vijana kama ninyi katika taifa hili hamna msaada wowote, ni bora muende marekani muondoke na corona tu, huwezi kukosa hoja ya kusaidia nchi wewe kila siku negative tu hata lisilo hitaji siasa.
Changia mawazo ili ujenge inchi yako.
 

Nchi gani hii Mimi namuabudu Mungu wangu Chadema kupitia mtume wake Mbowe
 
Muda huo tukisubiri kusoma bajeti, wabunge wa ccm na walioasi chadema waruhusiwe kutukanana na wale wa chadema, kila mbunge apewe saa moja kuchangia na bunge liwe laivu
 
Sheria za Afrika mashariki ndivyo zinavyosema... bajeti zinatakiwa zisomwe siku moja kuepuka rafu na uhuni ule anaouimba kila siku yericko Nyerere
 
Watu walivyotaka katiba mpya ambayo inawapa wananchi nguvu ya kuamua juu ya mustakabali wao nyie mlileta ngebe waache wakae wale pesa tena mie naona bora wakae hadi october waendelee kutafuta tu POSHO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…