Big budget on paper but reality hakuna hiyo hela implementation rate iko chini pia ndio maana kila mwaka mnafanya mini budget review.Uzuri nakupendea huwa unakubali ukweli, wenzako hata hiyo gap mpaka leo hii huwa hawaioni miaka yote hii wanakesha mitandaoni wakiikana kwamba haipo.
Utasikia budget yetu ni kubwa sijui marangapi ya budget za other EA countries kumbe mna parade madeni tuu.3.6 Trillion ni around 60 trillion pesa za Tanzania, kwani bajeti yenu ni shillingi ngapi?
The differences in those two budgets ni madeni tuu. Kenyan budget has ballooned to accommodate loans repayments. Imagine 58% of the budget going to service loans what remains 70% is for recurrent expenditure and 30% for development.Tanzania yenye kila kitu imeachwa kwenye bajeti na kenya kame
Tuletee hilo gazette Acha mdomoNimelisoma gazeti la citizen,kumbe Kenya inasimamia asilimia 94 jumla ya bajeti yake kupitia makusanyo pamoja na wakopeshaji wa ndani Kwa ndani ,wengine hao Tanzania,Rwanda,Uganda wote hovyo makajamba naniliuuu.......ni misaada na mikopo tupu.
Mamaeeรฉ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji122][emoji122][emoji122]
Kipofu hulioni hilo alilobandika MK254?
Maneno mengi tu apaKipofu hulioni hilo alilobandika MK254?
Kalb hayawan![emoji38]