Big budget on paper but reality hakuna hiyo hela implementation rate iko chini pia ndio maana kila mwaka mnafanya mini budget review.Uzuri nakupendea huwa unakubali ukweli, wenzako hata hiyo gap mpaka leo hii huwa hawaioni miaka yote hii wanakesha mitandaoni wakiikana kwamba haipo.