Bajeti za Afrika Mashariki

Bajeti za Afrika Mashariki

Uzuri nakupendea huwa unakubali ukweli, wenzako hata hiyo gap mpaka leo hii huwa hawaioni miaka yote hii wanakesha mitandaoni wakiikana kwamba haipo.
Big budget on paper but reality hakuna hiyo hela implementation rate iko chini pia ndio maana kila mwaka mnafanya mini budget review.
 
Tanzania yenye kila kitu imeachwa kwenye bajeti na kenya kame
The differences in those two budgets ni madeni tuu. Kenyan budget has ballooned to accommodate loans repayments. Imagine 58% of the budget going to service loans what remains 70% is for recurrent expenditure and 30% for development.
 
Nimelisoma gazeti la citizen,kumbe Kenya inasimamia asilimia 94 jumla ya bajeti yake kupitia makusanyo pamoja na wakopeshaji wa ndani Kwa ndani ,wengine hao Tanzania,Rwanda,Uganda wote hovyo makajamba naniliuuu.......ni misaada na mikopo tupu.

Mamaeeé😂😂😂😄👏👏👏
 
Mamaeeé[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji122][emoji122][emoji122]
Tuletee hilo gazette Acha mdomo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom