Bakari Nondo Mwamnyeto ana shida gani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado, mbna utasema tyuuh
 
Me nachokiona kwa kocha kosa lake ni kukosa alternative game plan kwa almost kila mechi. Tunatumia viungo kupita na mpira katikati mwa dimba, tukishindwa kufanya hivyo, tunakosa alternative kabisa. Wingers wanaozea bench tu Yanga. Mechi kama hizi kina Moloko wale sometimes wanakiwasha sana. Kocha awe na alternative, anafanya hizi mechi zinakuwa ngumu sana.
 
Ajali kazini
Hata akina Magwaya na akina Matip wa ligi kubwa za uingereza huwa zinawatokea.


Kukaba siyo rahisi hivyo kama hnavyodhani.
Angekuwa anakosea mara moja moja hapo sawa, kila mechi almost lazima atucost kisa anataka aonyeshe uwezo wake binafsi. Pale Diarra kapiga kelele kabla hajaruka lakini Bakari hakutaka kumskia, mwisho wake ndo ule sasa, tunafungwa goal la kizembe sana.
 
Mambo mengine mbona niyakawaida uwanjani.tupunguze lawama na kujifanya tunajua.Bakari kacheza vizuri tu,mpira umeshamfikia kichwani kwanini asiupige.angeuacha alafu kipa akauchelewa au akateleza mpira ukapita bado mngekuja kusema kwanini akupiga kichwa.Makosa ya uwanjani ni sehemu ya mchezo ndo maana timu zinapata magoli.
 
Mwamnyeto asingeupiga ule mpira mechi ingeisha 0-0

Siyo mbaya hata 1-1 imetuboost

Kosa lake limefutwa na pacome

On to the next one
Twende tu coastal tumvute yule Lameck Lawi aje ampe changamoto, labda atapunguza makosa sasa. Job kukaa bench mwanzo wa msimu naona kulimuamsha, saivi anakiwasha sana. Hapataki kabisa benchi.
 
Wajinga huwa mpo wengi sana, mnajifanya nyie ndo mko so rightous. Hoja inawekwa ijadiliwe, no one knows a lot in this world. Kuweka hoja sio kuwa mjuaji. Acha ushamba bwana mdogo.
 
kujifanya bingwa wa kupiga vichwa badala ya kumuachia Kipa adake.
Sioni kosa la mwamnyeto..

Kama umewahi kucheza mpira utanielewa

Ni ngumu sana kwa saiti aliyokuwa mwamnyeto kumuona kipa katika mazingira yale ya kuwania mpira mbele ya maadui....

Kimsingi yanga msimtafute mchawi, Al ahly waliwazidi vingi na mlikua na bahati kutofungwa nyingi..
 
Katika kitu aliniboa Jana ni kumwacha Aziz acheze dakika zote hizo afu akamtoa zingeli. Huyu kocha sijui karogwa
 
Inawezekana katika hio scenario akaokoka ila kama umeangalia mechi ya jana utaona kwamba ni zaidi ya x4 anapoteza possession na kufanya makosa ambayo yangeigharimu team pa kubwa. Na sababu kubwa ni kwamba anapenda sana (addicted) kutaka kuonyesha uwezo binafsi. Sielewi ni nani anajaribu kumu impress maana sio majukumu yake uwanjani. Yaani kila siku tukicheza, Job anatuonyesha kwanini alipewa tuzo ya beki bora nyakubonga
 
Mashabiki wa Tanzania acheni lawama zisizo na msingi. Wanaocheza uwanjani si malaika wale. Makosa ni sehemu ya mchezo na ndio maana magoli yanafungwa. Hutaki kufanya makosa, kaa na timu yako nyumbani.
 
Katika kitu aliniboa Jana ni kumwacha Aziz acheze dakika zote hizo afu akamtoa zingeli. Huyu kocha sijui karogwa
Mmeanza lawama zisizo na msingi. Mlitaka msifungwe? Kwani umeambiwa wale Ahly ni Kagera sugar? Hakuna cha sijui nani hajacheza, matokeo yoyote ni sehemu ya mchezo.
 
Ajali kazini
Hata akina Magwaya na akina Matip wa ligi kubwa za uingereza huwa zinawatokea.


Kukaba siyo rahisi hivyo kama hnavyodhani.
Ukiangalia kwa makini Kibabage alikua mbele ya Tau na angeweza kuondoa huo mpira ajabu ni kwamba aka simama kuangalia nini kitatokea
 
Twende tu coastal tumvute yule Lameck Lawi aje ampe changamoto, labda atapunguza makosa sasa. Job kukaa bench mwanzo wa msimu naona kulimuamsha, saivi anakiwasha sana. Hapataki kabisa benchi.
Si kuna Gift Fred
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…