- Thread starter
- #81
Kujiamini kunaenda wapi na mtu unajua kabisa wewe ndo tegemezi...??Ana hofu, hajiamini kama awali. ila akitulia ni mchezaji mzuri tu.
Au mpaka apigwe bench ndo ataona umuhimu wa kuanza kujiamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujiamini kunaenda wapi na mtu unajua kabisa wewe ndo tegemezi...??Ana hofu, hajiamini kama awali. ila akitulia ni mchezaji mzuri tu.
Kwa haraka Bakari anahitaji kupunguza kilo kama 5 ili aweze kuipata sharpness.Kujiamini kunaenda wapi na mtu unajua kabisa wewe ndo tegemezi...??
Au mpaka apigwe bench ndo ataona umuhimu wa kuanza kujiamini
Kamaa waamuzi wangekuwa makini, mwamnyeto pia angekuwa makini kwahiyo asingeachwaKama waamuzi wa ligi kuu wangekuwa makini yanga wangeshamwacha Mwamunyeto muda mrefu, anashika Sana mipira ndani ya eneo la penati, anacheza rafu nyingi ndani ya penati. Hayo makosa yangesababisha yanga kupoteza pointi nyingi Sana.
CAF wamemuweka kwenye kikosi bora cha week wewe upo huko kwenu Kilindi unajifanya mjuaji! Si bora nikose akili kuliko kua na akili kama zakoNa wewe utakuwa huna akili kama unadhani constructive criticism ni kuwa na shida binafsi na mtu.