Bakari Nondo Mwamnyeto ana shida gani?

Bakari Nondo Mwamnyeto ana shida gani?

Kujiamini kunaenda wapi na mtu unajua kabisa wewe ndo tegemezi...??
Au mpaka apigwe bench ndo ataona umuhimu wa kuanza kujiamini
Kwa haraka Bakari anahitaji kupunguza kilo kama 5 ili aweze kuipata sharpness.
Anachelewa kufanya tukio kwakua ana uzito, ni kama akili inataka ila mwili unachelewa ku respond.
Kama akifanikiwa kupunguza izo kilo na kuipata sharpness, ata pata timu yenye maslahi makubwa nje ya Tanzania.
 
Kama waamuzi wa ligi kuu wangekuwa makini yanga wangeshamwacha Mwamunyeto muda mrefu, anashika Sana mipira ndani ya eneo la penati, anacheza rafu nyingi ndani ya penati. Hayo makosa yangesababisha yanga kupoteza pointi nyingi Sana.
 
Kamaa waamuzi wangekuwa makini, mwamnyeto pia angekuwa makini kwahiyo asingeachwa
 
Na wewe utakuwa huna akili kama unadhani constructive criticism ni kuwa na shida binafsi na mtu.
CAF wamemuweka kwenye kikosi bora cha week wewe upo huko kwenu Kilindi unajifanya mjuaji! Si bora nikose akili kuliko kua na akili kama zako
IMG_20231221_130947.jpg
 
Tetesi zinasema amepata timu morroco anaondoka mwisho wa msimu huu

Sasa sijui warabu hawajaona hayo mapungufu yake?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom