Bakhresa amzawadia mjukuu wake gari ya PORSCHE kwa ajili ya birthday yake

Sisi walalahoi tunapigika na tozo za miamala, kesi za kigaidi na kodi ya nyumba kwenye luku.

CCM walaaniwe milele.
tatizo la wengi hapa tunaendeleza zile mentality za mtu kujenga nyumba ya bati mkaamua kumroga ili wote muendelee kuishi kwenye nyasi.
Nimemsikia mtu mmoja akiongea jana yafutayo:
"...tunaenda kujenga shule na watasomea watoto wetu" wakati yeye watoto wake wanasoma shule za kigeni
"...haiwezekani miaka 60 tangu uhuru kuna sehemu hakuna zahanati" hajatwambia walioshindwa kujenga hizo zahanati ni wanaotaka KATIBA MPYA au wanaoipinga.

SSB anafanya haya kwa uwazi maana moyo wake hauna makando mengi kama wengine wanaoigiza na kudanganya ili wawe mamilionea
 
Ukitaka kujengewa Zahznati au shule... nenda ofisini kwa SSB na maombi yako utajengewa..
 
Watoto wa huyu mzee wanaishi bana wanaitumia vilivyo pesa ya baba yao na mjukuu nae kaanza itafuna.....
 
Hakika....

Yeye CCM eee CCM eee khaaa 😲😲😲

#KaziIendelee
 
Sisi walalahoi tunapigika na tozo za miamala, kesi za kigaidi na kodi ya nyumba kwenye luku.

CCM walaaniwe milele.
😲😲😲😲😲😲😲

Relax Relax mkuu.....umeumbwa na Mungu uishi.....kwa kuwa hujayapata maisha mazuri basi pambana.....chuki yako kwa CCM inakuumiza tu mwenyewe.....wala SICHOMI MOTO KADI YANGU YA KIJANI kwa ajili ya maneno yako hayo 🀣🀣🀣

Serikali ya CCM inasimamia mengi....ikiwemo UTULIVU NA AMANI YA NCHI.....

Relax Relax Relax mkuu.....

Haya nenda kapambane nawe UMNUNULIE MJUKUU WAKO HATA VITZ.......

#KaziIendelee
#NchiKwanza
#SiempreCCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…