Bakhresa, Mo Dewji na GSM Wekezeni kwenye Elimu haswa kwenye Dini zenu

Kupitia vugu vugu la Bandari nimegundua Viongozi wengi wa Dini na Wananchi hawana elimu. Mashehe ndio kabisaa hawana uelewa wa kuelewa na kudadavua mambo nyeti ya nchi hii.View attachment 2723481
Kama mashekhe hawana elimu basi wasingezalisha matajiri namna hiyo?

Sisi wakristo tumezalisha matajiri gani kuwazidi wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…