Bakhresa, Mo Dewji na GSM Wekezeni kwenye Elimu haswa kwenye Dini zenu

Bakhresa, Mo Dewji na GSM Wekezeni kwenye Elimu haswa kwenye Dini zenu

Nchi hii waislamu ndio matajiri wenye pesa shida Yao kuu ni inferiority complex kujiona duni pia hawana umoja katika kujitolea kuhusu dini unakuta tajiri mzima anatoa buku sadaka.
Anzia viwanda vyote ni vya waislamu Mkristo gani anamiliki kiwanda nchini hapa,mabus yote, malori, yote, daladala,tax nyingi, maduka, maghorofa,masokoni,boti za uvuvi,nk
 
Elimu ya kutafuta pesa ndio elimu kubwa kuliko hizo zingine
 
Wapi Muislamu kakosa kusoma hadi hao waarabu wawajengee shule
 
Masheikh na waislam wanazalisha wadau wanapenda kujiajiri na kukuza uchumi kwa njia za halal, hawa wa dini nyengine wanazalisha wasomi wanawekeza kwenye kuajiriwa na serikali na kukuza uchumi wao na kujitajirisha kwa njia zozote hata kama ni za haramu.
Sasa upande upi wamefaulu inategemea na mtazamo wako kuhusu mandiko matakatifu ya dini yako yanasemaje kuhusu lengo la kuumbwa mwanaadamu na kuletwa hapa duniani.
"Common sense is not common"
Kwa wavaa kobazi elimu ya kumjua Mungu wao ni bora kuliko elimu za mazingira yao(shule), yaani kwa lugha ya kikoloni " Knowledge about Creator is best of education compared to knowledge or education about creatures".
Ndio maana kwa mtazamo wao na kwa mujibu wa maandiko yao matakatifu wanaamini mtu bora kwao ni yule atakaejifunza elimu ya dini ya dini yao na halafu akaifundisha.
Kwa lugha nyepesi Maostaadh, masheikh na walimu wa dini ya kiislam ndio ma boss kwao na kwa Allah wao.
Ukija huko kwengine ni tofauti kidogo wao wameekeza kwenye elimu ya mazingira zaidi, Mungu wao haangalii sana unachumaje mali yako, na hata ukiiba au akifanya uovu kiasi gani hapa duniani haijalishi kwa kuwa
Ukimkubali YULE mungu aliyeshuka duniani kubeba dhambi za wanaadamu na ukitoa sadaka nyingi basi mbinguni unaingia.
 
Back
Top Bottom