Bakhresa, Mo Dewji na GSM Wekezeni kwenye Elimu haswa kwenye Dini zenu

Bakhresa, Mo Dewji na GSM Wekezeni kwenye Elimu haswa kwenye Dini zenu

Nyie mliewekeza kwenye Elimu ya Dini imewasaidia Nini zaidi ya kuwaibia Wahumini na maji ya Upako, wakati wenzenu ndo wanaongoza Kwa Uwekezaji hapa nchini.....
 
Utajiri hauna mahusiano ya moja kwa moja na Elimu wewe pumbavu.
Elimu na maarifa ndio inaleta utajiri sio kukariri unaweza ukawa na division 1 lakini huna akili wewe ni unakariri ndio masna maprofessa wetu wameshindwa kutengeneza hata baiskeli
 
Elimu na maarifa ndio inaleta utajiri sio kukariri unaweza ukawa na division 1 lakini huna akili wewe ni unakariri ndio masna maprofessa wetu wameshindwa kutengeneza hata baiskeli


"Mahusiano ya moja kwa moja" ndo nimesema, unaelewa maana yake? Vina uhusiano ila sio wa moja kwa moja, umeona jinsi gani ulivyo dudusa?
 
Umasikini wa nchi hii umechangiwa zaidi na hao hao Wagalatia mana wao ndo wamo serikalini kwa zaidi ya 90% na serikalini tokea uhuru.
Usomi wao Wakristo ndo umetufikisha hapa tulipo
viongozi wengi wamejawa unafki ,ubinafsi ,uchoyo ,uongo ila wenyewe watakwambia wana akili, wanawaambia vijana wajiajiri ila wao wanazeekea kwenye madaraka na kurithishana, akitoka tu kwenye cheo hana maisha marefu kwakuwa amekuwa akiishi kwa kuiba tu
 
Mfanyabiashara badala ya kukuza faida yake aanze kuipunguza kwa kusomesha watu? Hiyo ni kazi ya wazazi/walezi na serikali. Acha ushauri wa kijinga.
 
Mimi mkristo nimeuliza swali, sisi wakristo viongozi wetu wa kidini tunaowasifu kuwa na elimu dunia, wamezalisha matajiri wangapi zaidi ya hao?
Wamesaidia nchi kiasi gani?..
Hao waliopitisha madudu kwa kura nyingi ni waislam?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama mashekhe hawana elimu basi wasingezalisha matajiri namna hiyo?

Sisi wakristo tumezalisha matajiri gani kuwazidi wao?
matajiri wengi wakubwa wana asili ya uhindi na uarabu nionyeshe billionea wa kimatumbi.
 
Back
Top Bottom