Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Elimu wanayo mkuu.
Ila tatizo ni kua wale wanaotoka mbele na kuwasemea ndo elimu dunia nadhani hawana. Kuna uzi humu jamaa anasema wao ili kua kiongozi hawaangaliievels za elimu dunia bali levels za dini yao..
Na ndio maana unaona wao wanatumia sana mic na sio kalamu.
Wasomi kote wapo mkuu ni vile tu wao wanaopata nafasi ya kutoa nyongo ndo hao sasa.