Bakhresa, Mo Dewji na GSM Wekezeni kwenye Elimu haswa kwenye Dini zenu

Utajiri siyo elimu, maana imethibitika kwamba wengi wenye elimu hawala pesa ila wasio na elimu wana pesa. Tuseme hata kitabu cha Robert Kiyosaki cha 'Rich Daddy, Poor Daddy' hujawahi kukisoma?

Halafu utajiri mwingine unatokana na MAJINI. Na kwenye dini yenu majini ni waumini wenzenu. Na jini kukupa utajiri haliweki kigezo cha elimu.
Elimu bila pesa ni makelele , mwenye pesa anaheshimika na jamii kuliko mwenye elimu
 
waislamu wanaopinga tupo wengi tu , ila kuna mashekhe bandia siku hizi sio wote ni halali, nina jirani yy kutwa kulala mkekani na kusoma quran pass time, tuliimpa kazi kwenye shell ,mshahara mzuri akaacha , tukimwambia kaongeze elimu ya dini saudia hataki hata alipiwe, yy anataka kuwa shekhe jina tu , ila usiwakejeli wale wa kweli , labda maoni yake siyo correct but individually ni mtu na heshima zzake.
meanwhile napinga ule mkataba
 
Elimu bila pesa ni makelele , mwenye pesa anaheshimika na jamii kuliko mwenye elimu
Jamii za kijinga ndo humheshimu mwenye pesa na kumdharau mwenye elimu. Hata hivyo, leo dunia inawatambua sana akina Socrates, Aristotle, Newton,n.k (wasomi). Je, kwanini jamii haiwakumbuki matajiri wa enzi hizo walioishi sambamba na hao niliowataja?
 
Hakuna jamii isio mkumbuka mwenye pesa wewe ndio hujui, ukiwa na pesa unaleta wasomi unawapa kazi una walipa mshahara , na wewe unakuwa boss, wewe hata kama umesoma vip huna thamani mbele ya mwenye pesa
 
Kama mashekhe hawana elimu basi wasingezalisha matajiri namna hiyo?

Sisi wakristo tumezalisha matajiri gani kuwazidi wao?
We jamaa mbona una akili ndogo sana, kumbe kuwa tajiri ndo kuwa na elimu? Pumbavu sana.
Halafu we sio mkristo Mara nyingi nakuona humu unatetea dini dhaifu ya kiislamu. Usijipe ukristo.
 
Sasa unabishaje wakati Mimi ndo nimekwambia Mimi ni Mkristo tena mkatoliki?

Ninavyojua mimi matajiri wa nchi hii wengi ni waislamu, wachache waliopo ni Wakristo tena hata sio wakatoliki wenzetu. Alikuwepo Dr Mengi Mlutheri na Dkt. Macha pia ni Mlutheri

Sasa nisaidie wewe. Hiyo elimu ya Viongozi wetu wa kikatoliki mbona haitusaidii kuwa Matajiri kama hawa kina Mo, Bakhera, Rostamu na wengineo?
 
Utajiri hauhusiani na elimu, kuna mtu hapo juu amekupa maelezo mazuri kuhusu utajiri. Kiufupi utajiri na umasikini havihusiani na dini. Kama hulitambui hilo baki na ujinga wako.
 
We mwenyewe umeona list ya hao matajiri wako imejaa Wahindi na Waarabu. Hiyo ni ishara kwamba utajiri wao unabebwa na race yao (wana akili ya biashara) na siyo dini yao ya Kiislamu. Maana kama dini ndo inampa mtu utajiri basi Waislamu weusi pia wangekuwa kwenye top ten yako ya matajiri.
 
Utajiri hauhusiani na elimu, kuna mtu hapo juu amekupa maelezo mazuri kuhusu utajiri. Kiufupi utajiri na umasikini havihusiani na dini. Kama hulitambui hilo baki na ujinga wako.
Mleta mada amewasema masheikh hawana elimu kwa kuwadharau. Nimemjibu kama hawana elimu mbona wao ndo wanaongoza waumini ambao ndo wanaongoza kwa utajiri Tanzania tofauti na maaskofu wetu wa kikatoliki?

Swali langu kwake kama hawa Maaskofu wa Katoliki wana elimu mbona elimu yao haijatusaidia wakatoliki kukamata uchumi wa nchi?

Kwenye orodha zote za matajiri wa Tanzania kila sekta ukiondoa hao waarabu unaodai hata waswahili wenzetu hakuna mkatoliki mwenzetu!

Dr Mengi alikuwa mlutheri, sasa Dkt Macha nae ni Mlutheri na ndo anatubeba sisi weusi watanzania pale DSE.

Ukienda kwa Wanamuziki kuanzia Ally Kiba, Diamond, Mwana FA na Harmonize ndo wanamuziki wanaotajwa kuwa na pesa na wote hao ni waislamu. Sasa wakristo hasa sisi wakatoliki hizo elimu za maaskofu wetu zinatusaidia nini?

Sasa unawasifu vipi watu kuwa na elimu wakati wanashindwa kutumia hiyo elimu yao kutengeneza matajiri wa Tanzania?
 
Back
Top Bottom