Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kuna mambo mengi, rushwa, ushirikina, urithi, juhudi binafsi n.k, elimu inakufungulia dunia kuelewa mamboKigezo cha kuwa tajiri ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mambo mengi, rushwa, ushirikina, urithi, juhudi binafsi n.k, elimu inakufungulia dunia kuelewa mamboKigezo cha kuwa tajiri ni nini?
Kigezo cha kuwa tajiri ni nini?Kwani kusoma ndiyo kigezo cha kuwa tajiri? Lipumba ana nini?
Hata wapumbavu wanazeeka,hao jamaa ni kaa la moto haswaWapo Kitenge na Zembwela wana F4
Wamepewa rushwa ya kutoshaHata wapumbavu wanazeeka,hao jamaa ni kaa la moto haswa
Wafuasi wa buddy wakiongea masuala ya kitaifa ndiyo utajua vichwani wamejaza takataka.Kupitia vugu vugu la Bandari nimegundua Viongozi wengi wa Dini na Wananchi hawana elimu. Mashehe ndio kabisaa hawana uelewa wa kuelewa na kudadavua mambo nyeti ya nchi hii.View attachment 2723481
Fanya wewe basi hivyo kama utakuwa tajiriKuna mambo mengi, rushwa, ushirikina, urithi, juhudi binafsi n.k, elimu inakufungulia dunia kuelewa mambo
Ukiacha ubishi, utwasaidia wenzio walio wengi kutoka kwenye maisha duni!Kama mashekhe hawana elimu basi wasingezalisha matajiri namna hiyo?
Sisi wakristo tumezalisha matajiri gani kuwazidi wao?
Mimi mkristo nimeuliza swali, sisi wakristo viongozi wetu wa kidini tunaowasifu kuwa na elimu dunia, wamezalisha matajiri wangapi zaidi ya hao?Ukiacha ubishi, utwasaidia wenzio walio wengi kutoka kwenye maisha duni!
Mimi mkristo nimeuliza swali, sisi wakristo viongozi wetu wa kidini tunaowasifu kuwa na elimu dunia, wamezalisha matajiri wangapi zaidi ya hao?Ukiacha ubishi, utwasaidia wenzio walio wengi kutoka kwenye maisha duni!
Ambalo nina uhakika nalo, ni kwamba wamezalisha wenye maisha yenye mafanikio makubwa wengi kuliko huko kwa wenzako.Mimi mkristo nimeuliza swali, sisi wakristo viongozi wetu wa kidini tunaowasifu kuwa na elimu dunia, wamezalisha matajiri wangapi zaidi ya hao?
Niwekee Top Ten ya Matajiri hapa Tz tuanzie hapoAmbalo nina uhakika nalo, ni kwamba wamezalisha wenye maisha yenye mafanikio makubwa wengi kuliko huko kwa wenzako.
Utajiri Sio matokeo ya elimu Bali ni juhudi.Kama mashekhe hawana elimu basi wasingezalisha matajiri namna hiyo?
Sisi wakristo tumezalisha matajiri gani kuwazidi wao?
Hivyo Viongozi wetu wa Kikristo hawako vizuri katika kutuhamasisha sisi Wakristo kuwa na juhudi ili tupande maendeleo na utajiri?Utajiri Sio matokeo ya elimu Bali ni juhudi
we mjinga sasa nyie mnaa elimu gani simmekariri tu . twambieni mmevumbua nini nchi hii na usomi wenu ?Kupitia vugu vugu la Bandari nimegundua Viongozi wengi wa Dini na Wananchi hawana elimu. Mashehe ndio kabisaa hawana uelewa wa kuelewa na kudadavua mambo nyeti ya nchi hii.View attachment 2723481
afu anajiita msomi . yaan wagalatia wa tz wajinga sana. humo maofisini wanakazi ya kulogana tu na kupeana vyeo kidini na kikabila na rushwa za ngono.Mtoa mada Unapojinasibu kuwa unaelimu, halafu mambo ya msingi huyajui, inashangaza. Kazi ya kujenga shule sio ya Mo au GSM, hiyo ni kazi ya serikali.
Umetafiti wapi ukaona kuwa waislam wana shida ya shule?
Kwani utajiri ni nini?Utajiri hauna mahusiano ya moja kwa moja na Elimu wewe pumbavu.
Lord denning hebu vunga tu kweny hii hoja yako ya utajir ukihusisha na usomi!! Unazid kuanika ujinga wako bure, wee vunga mkuu!!Utajiri una mahusiano na nini?