Bakhresa, Mo Dewji na GSM Wekezeni kwenye Elimu haswa kwenye Dini zenu

Bakhresa, Mo Dewji na GSM Wekezeni kwenye Elimu haswa kwenye Dini zenu

afu anajiita msomi . yaan wagalatia wa tz wajinga sana. humo maofisini wanakazi ya kulogana tu na kupeana vyeo kidini na kikabila na rushwa za ngono.
Uwezo hawana kila mtu akifeli government anapelekwa seminar ndo anafaulu😅😅hata mapadre wao wamesoma elimu za kubebwa huko seminar huku st kayumba hawapawezi.

Mwisho wa siku vichwa havina maarifa wanabaki kuwa vibaraka wa wazungu na kufuata matamko ya vatican .
 
Mimi mbona muislam siutaki kabisa huo mkataba wa milele. Serikali warekebishe hivyo vipengele halafu waulete tuujadili kama watanzania bara
Wewe unataka uujadili kama Mtanzania bara wakati wenzako Wagalatia wanaujadili makanisani kama Wakristo
 
we mjinga sasa nyie mnaa elimu gani simmekariri tu . twambieni mmevumbua nini nchi hii na usomi wenu ?
Umasikini wa nchi hii umechangiwa zaidi na hao hao Wagalatia mana wao ndo wamo serikalini kwa zaidi ya 90% na serikalini tokea uhuru.
Usomi wao Wakristo ndo umetufikisha hapa tulipo
 
Kama mashekhe hawana elimu basi wasingezalisha matajiri namna hiyo?

Sisi wakristo tumezalisha matajiri gani kuwazidi wao?

Bakhresa watoto wake kawasomesha kwenye chuo kikuu cha kanisa ka kikatoliki

Mo dewji pia kasomeshwa chuo kikuu cha cha kanisa katoliki
 
Kama mashekhe hawana elimu basi wasingezalisha matajiri namna hiyo?

Sisi wakristo tumezalisha matajiri gani kuwazidi wao?
achana na matajiri waarabu na wahindi wa kariakoo na upanga.

twende kwenye matajiri waislamu wamatumbi wenzetu weusi tii kama mimi na wewe. wanafika wangapi nchi hii ukilinganisha na wenzao ambao sio waislamu?.
 
udini kweli unawaumiza watu, kuna jaamaa humu wao kila kukicha ni kuumiza roho zao juu ya waislamu. Anashinda mchana kutwa kuwaza mambo ya udini wakati hata hiyo dini anayo ipigania haimpi ugali. Waafrica tuna safari ndefu sana.
Hivi kuna watu wadini kama waislam,mkristo hawezi kuumizwa roho na muislam hata siku moja kwa taarifa yako
 
Marehemu Ally Mufuruk?
Ally Mufuruki hakuwa na utajiri kiasi cha Mengi hata nusu tu hakuweza kumfikia! Ila kusema kweli kwa waislam wengi matajiri ni warabu na wasomali kwa sehemu kubwa! Mfano ukienda Mwanza au Arusha matajiri wengi ni Wakristo na ukikuta mwislam basi ujue ni Mwarabu au msomali mfano ni Jambo Shinyanga! Hata ukiangalia watu wengi wenye maisha ya angalau wengi ni wakristo japo nao bado kwa ujumla ni maskini!
 
Kama mashekhe hawana elimu basi wasingezalisha matajiri namna hiyo?

Sisi wakristo tumezalisha matajiri gani kuwazidi wao?
kuzalisha?.....unadhani hao matajiri wanakumbatia elimu za madrasa au za hapa tz? Wafuatilie, watoto wao wamesoma UK na Marekani
 
Kama mashekhe hawana elimu basi wasingezalisha matajiri namna hiyo?

Sisi wakristo tumezalisha matajiri gani kuwazidi wao?
Utajiri siyo elimu, maana imethibitika kwamba wengi wenye elimu hawala pesa ila wasio na elimu wana pesa. Tuseme hata kitabu cha Robert Kiyosaki cha 'Rich Daddy, Poor Daddy' hujawahi kukisoma?

Halafu utajiri mwingine unatokana na MAJINI. Na kwenye dini yenu majini ni waumini wenzenu. Na jini kukupa utajiri haliweki kigezo cha elimu.
 
Back
Top Bottom