Bakhresa, Mo Dewji na GSM Wekezeni kwenye Elimu haswa kwenye Dini zenu

Bakhresa, Mo Dewji na GSM Wekezeni kwenye Elimu haswa kwenye Dini zenu

Nitajie Matajiri Wasomi wa Kiislamu hapa Tanzania,ukiacha Mo ambaye karithi na kuendeleza Mali za Baba yake!
Mkimaliza kushindanisha kwenye elimu na utajiri, mtafatia dini ipi ina madem wakali, dini ipi ina wanaume wenye vichaa. Ni utoto na ujinga

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Umasikini wa nchi hii umechangiwa zaidi na hao hao Wagalatia mana wao ndo wamo serikalini kwa zaidi ya 90% na serikalini tokea uhuru.
Usomi wao Wakristo ndo umetufikisha hapa tulipo
Na Zanzibar ndiyo Kuna maendeleo maana serikalini wamejaa wao tu!
 
Inashangaza eti,Wenzetu Muslim wanataka DP world halafu Christian hawataki.
Hizo ni propaganda tu ccm wameamua kuzitengeneza waislam wenye elimu hawaukubali kama kuna watetezi wa bandari muda utaongea subiri watakavyo anza kuamishwa makazi yao bila fidia si wamejaa hapo dar
 
Hao ni waarabu kenge wewe..nitafutie muislamu mweusi tajiiri km alivyokuwa Mengi.
Akimleta na ondoka jf sirudi tena. Atuoneshe mbantu mwenye mbesa kufikia level ya mengi..? Kama sio hawa za dua chafu tu mtaani
 
Kama mashekhe hawana elimu basi wasingezalisha matajiri namna hiyo?

Sisi wakristo tumezalisha matajiri gani kuwazidi wao?
Quran Karim Ndio iliyosema!
[emoji116][emoji116]
هُوَ الَّذِي بَعَثَ فِي الْأُمِّيِّينَ رَسُولًا مِّنْهُمْ يَتْلُو عَلَيْهِمْ آيَاتِهِ وَيُزَكِّيهِمْ وَيُعَلِّمُهُمُ الْكِتَابَ وَالْحِكْمَةَ وَإِن كَانُوا مِن قَبْلُ لَفِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ

[ AL - JUMUA' - 2 ]
Yeye ndiye aliye mpeleka Mtume kwenye watu wasio jua kusoma, awasomee Aya zake na awatakase, na awafunze Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaahiri.


Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Kama mashekhe hawana elimu basi wasingezalisha matajiri namna hiyo?

Sisi wakristo tumezalisha matajiri gani kuwazidi wao?
Anazungumzia Mashekhe weusi, wenye pua na lips pana na nywele ngumu nyeusi

Sio Waarabu na Wahindi
 
Back
Top Bottom