Na kuiba maofisini ni nani wako vizuri?Hivyo Viongozi wetu wa Kikristo hawako vizuri katika kutuhamasisha sisi Wakristo kuwa na juhudi ili tupande maendeleo na utajiri?
Shehe gani aliezalisha matajiri hali ye ni masikiniKama mashekhe hawana elimu basi wasingezalisha matajiri namna hiyo?
Sisi wakristo tumezalisha matajiri gani kuwazidi wao?
Islam DiniWagalatia bana, mtaacha lini kuteseka na waislamu?