Bakhresa muogope Mungu wako. Uwiano wa hasara ni mkubwa kuliko faida

Una mawazo ya kidunia sana wewe Tate.Dunia imekushughulisha sana.
Usiangalie kila kitu kwa faida za dunia peke yake utapotea zaidi.
 
Na wewe tafuta mali zako ufanye hayo unayotaka Bakhresa ayafanye. Unampangiaje mtu na pesa yake asee.? Alafu wewe ni mwanaume?🤔
Bakhresha angekuwa yuko sayari ya pekee na viumbe wake ingekuwa sawa.Kumbe mambo yake yote anatutegemea sisi.Lazima atuhurumie na akishindwa kufanya hivyo ni vyema kumshauri.
 
Watanzani wenye asili ya Asia ndio hao hao wanatumika na matajiri wa kisiasa kutakatisha mapesa ya kifisadi kwa kufungua miradi mikubwa mikubwa nchini!

Wanasiasa wamejificha Kwa hao jamaa was Asia!

Kama wasomali kule Kenya wanavyotumiwa na wanasiasa kwenye biashara kuepuka ukabila !!

Usijisumbue na hayo !hiyo Mali ni ya Mzee mwinyi. Hayati na watoto wake ,hao wanafanya kazi tu kwa hisa kadhaa walizowekeza!!

Tuwe smart!
 
We bakresa unamjuwa sana ee aya endelea kumjua ivo ivo, we humjui hata chembe zaid ya kumuona,tuulize sisi wazee wetu waliokulia kariakoo uyo bakeresa akija pale kwake wale wazee wanakuwaga nje pale wanakunywa kahawa ndo wanamjua kimknd mknd wengine washakufa , so yule sio malaika mwache afanye anachojuwa mwisho wa siku kila mtu anajuwa hatima yake
Hayo mawaidha jipe weee na watto wako
 
we kuweza...!!!au donge tu
 
Wewe huna akili,kipi cha maana ulichokiandika wewe zaidi ya kuonyesha chuki ya udini?
Brother tumia akili hata kidogo, nikisema Iddi Amin alikuwa ni detector ntakuwa namchukia?? Nikisema Osama Bin Laden alikuwa ni terrorist ina maanisha namchukia?

Hampendi kusikia ukweli kuhusu mtume wenu😆😆😆 mnatamani kusikia kwamba alikuwa mtu mzuri wakati huo ni uongo wa wazi kabisa, mambo yote niliyaongea yapo kweny vitabu vyenu vya dini, kwaio scribers wa mtume wenu walikuwa wanachukia sio?? Tumia akili dogo

Kama huna kitu cha maana cha kuchangia,kaa na mumeo huko,usituletee takataka zako hapa.
Ukiona mtu anazungumzia sana mambo ya "ushoga ushoga" ujue yanamhusu.
 
Kwa mawazo haya wewe ni masikini mkubwa na utabaki kuwa masikini maana kichwa chako kimeukubali umasikini na kuukumbatia! Hata waliokuletea dini watakushangaa.
 
Bwana Mudi huyo siyo?
 
Mungu ndiye aliyetujulisha yapi ni mema na yapi ni madhambi.Ingekuwa ni hivyo basi kusingekuwa na haja ya kuletwa mitume na watu kusoma dini wakapatikana wa kuwaonya wenzao.
Kanuni yako ni kanuni ya kishetani.
"Je, mnawaamrisha watu mema na mnajisahau nafsi zenu, na hali nyinyi mnasoma kitabu? Basi je, hamzingatii?"
Al-Baqarah 44

Wacha unafki shekhe, Mwenyezimungu hapendi wanafki. Je, wewe mpaka sasa mali yako yote imetumika kwa vitu vilivyo halali?.
Ungetaka kumuelimisha Bakhresa ungemfata umwambie, hapa unaongea sisi ni Bakhresa???? Hii wazungu wanaita Hypocrites, kutumia dini ya Mwenyezimungu kwa matakwa yako binafsi ni uovu.
Uislam ni dini ya Mwenyezi Mungu sio dini ya mjomba ako uhukumu watu kama unavyotaka wewe. Majnuun!!!
 
Wewe mtoa mada umefanya nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…