Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #181
Una mawazo ya kidunia sana wewe Tate.Dunia imekushughulisha sana.Waislamu wahafidhina wa aina yako mara nyingi wana hulka ya uvivu, na utawakuta muda wote wanashinda misikitini huku wakiwa wamevaa kanzu na kufuga ndevu nyingi!! Wanajifanya eti wanaswali na kumtumikia Allah!! Kumbe ni uvivu tu.
Mara nyingi hujikuta wameoa wanawake wengi kutokana na kujifanya kwao ni waswahilina, halafu mwisho wa siku wakishindwa kuwapatia mahitaji muhimu hao wake zao, oamoja na watoto lukuki wanao wazaa na hao wanawake walio wapata kupitia huo uswahilina wao.
Sheikh, badilika! Dunia inakimbia. Acha kuishi kwa mazoea. Wale ndugu zenu wa Uarabuni wanamiliki visima vya mafuta! Jiulize wewe hapo ulipo unamiliki nini! Ndiyo utakuja kugundua njia uliyo ichagua siyo sahihi, na hivyo Bahressa yuko sahihi. Tafuta hela Sheikh ili watoto wako wajivunie mafanikio yako.
Usiangalie kila kitu kwa faida za dunia peke yake utapotea zaidi.