Unajidanganya sana kuhusu mimi.Mimi sio tajiri kama Bakhresa na wenzake lakini najiweza na sina shida na pesa zake nikijua zimetokana na haramu ya kuwashughulisha watu usiku na mchana kwa mpira.Kwa mawazo haya wewe ni masikini mkubwa na utabaki kuwa masikini maana kichwa chako kimeukubali umasikini na kuukumbatia! Hata waliokuletea dini watakushangaa.
[emoji1787][emoji1787]Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Trust me! Huyo mzee akifa na mambo yake yote yatakufa, just a matter of time.Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Usipotumia akili katika imani yoyote uliyonayo ujue madhara yake ni zaidi ya SILAHA ZA MAANGAMIZI (WMD) [emoji1787]Nachoshukuru mpk sasa wenzake katika Imaaani ndo wamemshushia za uso mpk haoni mbele macho yameziba kwa kimbunga hicho...
Kwanini mkuu wangu ?Trust me! Huyo mzee akifa na mambo yake yote yatakufa, just a matter of time.
Kumbe alioa limshangazi?Nani hataki hela? Hata yule unayemsoma sana kwanza alioa boss wake lishangazi lenye hela kisha baadae akatafuta katoto.
Unadhani angeoa njaa kali ungekuwa unamsikia? Hela ya kusafiri uku na kule mwanzoni angetoa wapi. Na uzoefu wa safari za biashara ya mke wake ilimsaidia.
Na makucha yake🤣Kumekuchaa kumekucha..
Yeye Kajenga miskiti ambayo maelfu ya watu wanaenda kuabudu wewe umewahi hata kununua Carpet kwenye msikiti unaosali? au umewahi kwenda kujitolea hata kufanya usafi tu kwenye msikiti wako unaosaliKatika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Kaanzisha uzi huu unaousomaWewe umefanya nini hadi Sasa?
Leo tena viongozi wako wa dini ili kuyapa umaarufu, mwamko na mwitikio mashindano ya wanawake kusoma kuran wameona inanidi kuwashirikisha watu wa soka na kukamilisha hilo wamewaalika wasemaji wa Yanga, Simba na Azam.Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Mwambie marefa na wachezaji wa kike viwanjani wanavaa ushungi, hiyo inatoshaKwa hiyo anachofanya yeye hafati Quran na sunna. Na wewe kwa upande wako maisha yako yote ni kwa mujibu wa Quran na sunna.
Kwanini nikeamdika hays. Ni kwasababu asiye na hili ana lile
[emoji1787][emoji1787]Yeye Kajenga miskiti ambayo maelfu ya watu wanaenda kuabudu wewe umewahi hata kununua Carpet kwenye msikiti unaosali? au umewahi kwenda kujitolea hata kufanya usafi tu kwenye msikiti wako unaosali
Extremists haswa...
Your own life is your responsibilityKatika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Makka ni ya Allah peke yake .Hao wengine ni wajinga tu na mwisho wao utakuwa ni mbayaWenye Maka yao wenyewe wananunua wachezaji kwa mabilioni na ndo waliokuletea dini. Ukijifanya unaijua sana dini (ya kuletewa) utaishia kuwa kichaa.
Huna hoja kuhusu unaloliongelea."Je, mnawaamrisha watu mema na mnajisahau nafsi zenu, na hali nyinyi mnasoma kitabu? Basi je, hamzingatii?"
Al-Baqarah 44
Wacha unafki shekhe, Mwenyezimungu hapendi wanafki. Je, wewe mpaka sasa mali yako yote imetumika kwa vitu vilivyo halali?.
Ungetaka kumuelimisha Bakhresa ungemfata umwambie, hapa unaongea sisi ni Bakhresa???? Hii wazungu wanaita Hypocrites, kutumia dini ya Mwenyezimungu kwa matakwa yako binafsi ni uovu.
Uislam ni dini ya Mwenyezi Mungu sio dini ya mjomba ako uhukumu watu kama unavyotaka wewe. Majnuun!!!