Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #201
Unajidanganya sana kuhusu mimi.Mimi sio tajiri kama Bakhresa na wenzake lakini najiweza na sina shida na pesa zake nikijua zimetokana na haramu ya kuwashughulisha watu usiku na mchana kwa mpira.Kwa mawazo haya wewe ni masikini mkubwa na utabaki kuwa masikini maana kichwa chako kimeukubali umasikini na kuukumbatia! Hata waliokuletea dini watakushangaa.
Kiujumla ni aina ya serikali na uchumi wetu tu lakini watu wenye kuwapotezea watu muda kwa upuuzi wa tamthilia na mpira wangeitwa wahujumu uchumi.