Bakhresa muogope Mungu wako. Uwiano wa hasara ni mkubwa kuliko faida

Wivu mbaya sana yaani wamaskini ni shida unateseka sana sasa wewe unapata faida gani kuwafuatilia
 
Acheni wivu kwahiyo wewe huna dhambi haujawahi kudokoa hata nyama jikoni! Mnateseka sana
 


sama leko shee..!
 
Acheni wivu kwahiyo wewe huna dhambi haujawahi kudokoa hata nyama jikoni! Mnateseka sana
mimi sikubaliani na mtazamo wa kidini wa mleta mada

LAKINI

ni kweli kabisa kwamba matajiri wakubwa walio wengi ni wadhulumishaji

Ubepari unaumiza wengi, ndo ulivyo.

Wamarekani wengi wanalalamika sana huko mitandaoni kwamba matajiri wao hawadhibitiwi na serikali, wanajikusanyia mali mwisho wa siku wanashikilia asilimia kubwa ya uchumi.

Fuatilia kuhusu 'wealth inequality'

Sijui hilo linapswa lichukuliwe vipi lakini kimsingi ni ukweli.
 
Kijana wangu Unabishana na watu ambao hawajui kitu, Matajiri ni Mafia kinoma sana yaani zile habari zao ukizisikia na huwezi kuamini. Pale Bandari ya Dar es salaam biashara yote ya usafirishaji wa majini imekamatwa na Azam, wakija wengine huwa hawatoboi ataenda sana sio zaidi ya miaka 5, Meli zitaanza kuharibika, Wafanyakazi kufanya yasiyotakiwa au kuwa na tabia ambazo hutarajii kama zinaweza kufanywa na binadamu. Kiufupi huyu Bakhersa ni mafia sana kumbukeni hata lile suala la ku hijack ishu ya kusambaza Ngano Congo na Rwanda Azania Groups
 
Unateseka makosa kila mtu anayo hata wewe una dhambi kibao tu acheni matajiri waishi maisha yao hata wewe ukiwa tajiri utasemwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…