Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nikamshauri.Hizi biashara nyengine hazimfai yeye.Aache uroho wa mali.Ukute kwenye familia wewe ndio tegemezi wa kutoa muongozo.
Yani umekaa chini kabisa ukaona hiki kinafaa kuandikwa.
Sijui unatambua kuwa nchi hii ina watu imani tofauti na ya kiislam?
Na mimi nakubaliana na wewemimi sikubaliani na mtazamo wa kidini wa mleta mada
LAKINI
ni kweli kabisa kwamba matajiri wakubwa walio wengi ni wadhulumishaji
Ubepari unaumiza wengi, ndo ulivyo.
Wamarekani wengi wanalalamika sana huko mitandaoni kwamba matajiri wao hawadhibitiwi na serikali, wanajikusanyia mali mwisho wa siku wanashikilia asilimia kubwa ya uchumi.
Fuatilia kuhusu 'wealth inequality'
Sijui hilo linapswa lichukuliwe vipi lakini kimsingi ni ukweli.
Hivi mkuu unashindwa kuelewa kuwa huo mpira umepatia ajira maelfu ya watu!?Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Hakuna watu wenye utajiri wa shirk kama watu wa iman ya akina tajiri huyu. Bila shirk na majini hakuna kitu nawe unalijua vizuri jambo hilo. Sasa unapomwambia huyu tajiri aache fedha haramu atawezaje wakati fedha yake inapatikana kwa kuwalisha majini damu za watu?Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Anasibiri kujipatia mabikra 72.Wewe umefanya nini hadi Sasa?
Kila mtu afanye anachoona kwake kina mashiko ilimradi havunji sheria za nchi. Dhambi au wema vinamhusu yeye na Mungu, vinginenevyo ni kuingilia yasiyokuhusu.Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Kwahiyo umeshapitisha majibu huyo ni masikini Mkuu?Japo Maskini akiongea watu hawazingatii lakini huyu Jamaa kaandika Ukweli.
Acha wivu.Mambo ya Bakhresa na Mungu wake waachie wao.Fanya yakoKatika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Hii ndo ile msikilizaji wa DW kutoka Mugumu Serengeti anaishauri serikali ya Marekani.Hii nchi ina mambo mengi.....hadi raha
😂Only in Tanzania, masikini anamshauri tajiri