Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini aunge mkono wafanyabiashara wa kiislam tu? Unatenda dhambi ya ubaguziMisaada yake mengine haiendani na haja halisi za watu.Na hana watu wazuri wa kumshauri.
Sijui ni nani aliyemshauri kujenga viwanja vya mpira badala ya kuwaunga mkono wafanyabiashara wa kiislamu kwanza au kuendeleza masuala ya kielimu.
Kwa sababu inajulikana waislamu walidhulumiwa sana kiuchumi wakati wa ukoloni na wakati wa Julius Nyerere raisi wa mwanzo wa Tanzania.Kwa nini aunge mkono wafanyabiashara wa kiislam tu? Unatenda dhambi ya ubaguzi
hakuna kitu kama hicho.Mengi ya hayo yanachochewa na matendo ya matajiri.Watu wanaiba na kucheza kamari ili wakashuhudie anachokitangaza Bakhresa kwa nguvu kwenye runinga.
Mkuu mbna unatumia mtandao wa makafiri?, mbna unatumia simu iliyotengenezwa na makafir?Huna hoja kuhusu unaloliongelea.
Madhumuni ni ujumbe umfikie mlengwa kwa njia iliyo nyepesi.
Unataka nipeleke maombi kwa ajili ya kutoa mawaidha.Enzi zimebadilika kama yeye anavyoweza kuwapotosha mamilioni ya watu kwa dakika moja na kwa wiki nzima.Na mimi naweza kumfikishia ujumbe hata kama amejificha kwenye makasri yake.
Ukisoma kwenye surat Alaq kuwa Allah ni mkarimu basi ukarimu wake ndio kama huo.
Halafu anawaua wananchi kwa kuwauzia bidhaa za kemikali kama vile juice na ukwaju vitu ambavyo havina uhalisia katika hali halisi. Anawatilia watu harufu za maembe na ukwaju kwenye vyakula jivyo ili kuwaua kwa makusudi. Mungu anamuaona.Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Kama ni wanawe kweli na wamekuta mali za baba yao basi awakanye na ajitangaze kujitoa kwenye upuuzi wao.KAMA KUNA MEMA KAMA KUJENGA MISIKITI NA KUTOA SWADAKA HUWEZI KUMHUKUMU,INAWEZEKANA YEYE HAHUSIKI NA MAMIPIRA WAHUSIKA WAKAWA NI WANAE MAANA MKUU WA MAKAMPUNI YOTE NI MWANAE.
Una uelewa kiasi.Sasa hapa tunajizungumzia wenyewe.Kwa sababu kila anayesaidia wema atalipwa sawa na wema utakaotendeka na pia ukisaidia uovu utalipwa kwa uovu utakafanyika,hakuna kitu kama hicho.
Siku ya mwisho ya hukumu kila mtu atabeba msalaba wake huwezi ukawaambia malaika wa adhabu eti mimi nilishawishiwa na Bakhresa nikaibe na kucheza kamari haikuwa maamuzi yangu,haiingii akilini
Nani kakwambia kuwa mtandao ni wa makafiri au simu ni ya makafiri.Tumezungumza huko nyuma kuwa chanzo cha uelewa wa yote haya ni elimu iliyoratibiwa na waislamu.Mkuu mbna unatumia mtandao wa makafiri?, mbna unatumia simu iliyotengenezwa na makafir?
Hapana.Una uelewa kiasi.Sasa hapa tunajizungumzia wenyewe.Kwa sababu kila anayesaidia wema atalipwa sawa na wema utakaotendeka na pia ukisaidia uovu utalipwa kwa uovu utakafanyika,
Ukiwa na akili nzuri huwezi kumsaidia mwenzako kufanya matendo maovu.
Creases 😂😂😂What I see is the pressure Creases.. Sijaelewa unampa mawaidha au 😥😥
Hiyo Betting na kuwatia watu wazimu wa kupiga mayowe mabarabarani ni sehemu tu ya shida alizozileta.Nyengine ni kwenye majumba yetu.Namjua jirani yangu ambaye kawa kama kiwete kwa kukaa kuangalia michezo ya kituruki.Hapana.
Statement yako ingekuwa na nguvu kiasi kama Bakhresa angekuwa anakufuata hadi nyumbani kwenu kisha anakushika mkono muende kwenye jumba la betting hapo sawa,lakini kama uliamka nyumbani kwako ukaplan mwenyewe kisha ukapanda gari hadi kwenye jengo wanalobet na ukalipia mwenyewe wakati huo Bakhresa hata hakuoni yuko nyumbani kwake na familia yake
Wewe ni shekhe birianiNdio ni mawaidha ambayo mashekhe ubwabwa hawawezi kumpatia.
Umelazimishwa kunywaHatari kabisa ni hizi Energy zake nguvu za kiume zinakufa pamoja na kuharibu figo.
Ni akili yake tu haitafakari vizuri.Hiyo Betting na kuwatia watu wazimu wa kupiga mayowe mabarabarani ni sehemu tu ya shida alizozileta.Nyengine ni kwenye majumba yetu.Namjua jirani yangu ambaye kawa kama kiwete kwa kukaa kuangalia michezo ya kituruki.
Namjua na mwengine kaenda hija kabisa lakini tangu arudi anafuatilia tamthilia tu badala ya kusoma Qur'an na kuswali kwa wakati vipindi vyote vya swala.Bakhresa ndiye sababu.
yawezekana wale wanaocheza wamelipwa tu wafanye kazi ya kuitangaza Uturuki kwa watu maskini . Hakuna hata anayewajua kule.Ni akili yake tu haitafakari vizuri.
Unataka kuniambia na huko uturuki zilikotengenezwa hizo movies watu wa huko pia hawaendi kazini wanakaa ndani siku nzima kuangalia tv?