BAKWATA iingilie kati uvaaji wa wanawake wakiwa JKT

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,905
Reaction score
4,054
Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.

Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.

Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
 
Waambie waache kwenda JkT hawalazimishwi!
 
Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.

Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.

Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Acha udini
 
Sasa unataka watoto wa kike wakapige kwata huku wamevaa hijab?! Is it practicable?

Hata wakivaa suruali najua kwenu itakuwa haitoshi, kwasababu bado maumbile yao yataonekana, sasa unataka wavae vipi?
 
Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.

Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.

Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Mlianza na hijab mashuleni. Mlipoona mmemshinda Mkapa, mkajiona vidume.
Huko mnakogusa sahizi mmpepotea njia.

Sheria za jeshi ni pamoja na kuvaa kofia siyo hijab, kuwa na nywele fupi wakat wote wa mafunzo, kama ni kusuka subiri ukimaliza.

Naona bado hamjafa moyo kuitaka Tz iwe ya kiislam. Poleni.
 
Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.

Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.

Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Kule ni jeshini. Hawaendi kwa tiketi ya dini. Dini unaiacha nyumbani kwenu. Siungi mkono kama Kuna maovu yanatendeka huko dhidi ya yeyote. KWA MTAZAMO WAKO UNATAKA HATA ASKARI WA KIKE AVAE HIJABU BADALA YA CLAUN, AVAE KANZU NDEFU BADALA YA SURUALI AU SKETI. TOKA KWENYE HILO BOX LA DINI, IBAKIE SWALA NA MATENDO MEMA TU
 
Back
Top Bottom