assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Waambie waache kwenda JkT hawalazimishwi!Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Acha udiniNimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
NakaziaAcha udini
Nangoja Jibu....Mtoa mada hivi kweli Bandari yetu inaporwa na waarabu kupitia ccm?
Kwa taarifa nilizonazo ni kuwa ni wajibu kuhushiria.Waambie waache kwenda JkT hawalazimishwi!
Katika dini ya kiislamu wanawake hawaruhusiwi kunyoa nywele pia ni wajibu kwao kusitiri mwili mzima. Ukihitaji ushahidi unaeza patiwa sio ujinga kuzungumzia suala hili bali kuna group linaathirika kimyakiyaHuo uchizi umeanza lini kuugua?
Mlianza na hijab mashuleni. Mlipoona mmemshinda Mkapa, mkajiona vidume.Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Wasiende kwani wamelazimishwa?🤣Waambie waache kwenda JkT hawalazimishwi!
Kule ni jeshini. Hawaendi kwa tiketi ya dini. Dini unaiacha nyumbani kwenu. Siungi mkono kama Kuna maovu yanatendeka huko dhidi ya yeyote. KWA MTAZAMO WAKO UNATAKA HATA ASKARI WA KIKE AVAE HIJABU BADALA YA CLAUN, AVAE KANZU NDEFU BADALA YA SURUALI AU SKETI. TOKA KWENYE HILO BOX LA DINI, IBAKIE SWALA NA MATENDO MEMA TUNimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Uislam ni sehemu ya mafunzo jeshini?Katika dini ya kiislamu wanawake hawaruhusiwi kunyoa nywele pia ni wajibu kwao kusitiri mwili mzima. Ukihitaji ushahidi unaeza patiwa sio ujinga kuzungumzia suala hili bali kuna group linaathirika kimyakiya