Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,243
- 3,047
Daah! Kichwa kisicho na maarifa ni mzigo KWa shingoNimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Mtazoea nyie..huwa mkikubaliwa moja mnadai na lingine...kila kitu mnahisi kuonewa....ukitaka uishi kwenye serikali inayoendeshwa kidini hamia somalia..wala sio mbaliTumeamua kufata serikali isiyo na dini. Haya ndio madhara yake kwa waislam.
Kuondoa fitna hii tutafute au kuanzisha chama kitachounda serikali za dini zote. Lengo si kuanzisha serikali za kidini laa, Lengo ni kulinda tamaduni, ibada za dini zote.
Binti wa kike kuvaa uniform sawa na imani ya dini ni kumpa haki yake ya kuabudu. Lkn kwa tz halindwi bali hudhibitiwa.
Bahati mbaya jambo hili nitapingwa hata na chama MBADALA chadema.
Lkn ktk nchi zinazolinda dini zote; wasichana wako huru kujisitiri
Tunahitaji kuwe na serikali ya dini zote. Lengo si kuendesha serikali inayoendeshwa kidini. Bali Lengo ni kutopendelea dini yyt.Mtazoea nyie..huwa mkikubaliwa moja mnadai na lingine...kila kitu mnahisi kuonewa....ukitaka uishi kwenye serikali inayoendeshwa kidini hamia somalia..wala sio mbali
Hoja yako ina mantiki kubwa mkuu lakini tujiulize je serikali yetu ni ya kislamu au inaegemea kwenye upande wowote wa dini? kama haiegemegei kwenye dini yoyote basi .ya serikari tuiachie serikari ya Mungu tumwachie Mungu
Serikali haina dini..hii ni kwa mujibu wa katibaTunahitaji kuwe na serikali ya dini zote. Lengo si kuendesha serikali inayoendeshwa kidini. Bali Lengo ni kutopendelea dini yyt.
Itikadi ya sasa ya serikali isiyo na dini kuendelea baadhi ya dini.
Hakuna udini jeshini. Kule ni kazikaziNimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Mapendekezo yaliyofuata baada ya hii vawlence ni batili 🤠🤠🤠Waambie waache kwenda JkT hawalazimishwi!
Kule ni jeshini. Hawaendi kwa tiketi ya dini. Dini unaiacha nyumbani kwenu. Siungi mkono kama Kuna maovu yanatendeka huko dhidi ya yeyote. KWA MTAZAMO WAKO UNATAKA HATA ASKARI WA KIKE AVAE HIJABU BADALA YA CLAUN, AVAE KANZU NDEFU BADALA YA SURUALI AU SKETI. TOKA KWENYE HILO BOX LA DINI, IBAKIE SWALA NA MATENDO MEMA TU
Nchi hii ni ya watu wote wa dini zote. Nilikua namjibu yule anaetulazimisha tuishi bila ya matakwa ya dini yetu kwasababu Sheria iko hivyo na kama hatuwezi tukahamie Afghanistan ambako sheria zao ni rafiki kwetu.Sasa muarabu anaingia wapi kwenye hilo swala [emoji848][emoji848]
Ukiendelea kupima uwezo wa kijeshi kwa google utaendelea kula matango pori.nenda chechenia uone wanawake wakiwa na nguo ndevu jeshini na makomandoo nenda palestina nenda indonesia nenda afghan stan nenda pakistani kote huko wanajeshi wanawake wamevaa hejabu na wanauwezo wa kupigana na nchi za africa kwa masaa na kuteka nchi nzima bila kujuishwa wanaume ni wanawake tu, kunyolewa kipara sio kuwa utakuwa mwanajeshi mkakamavi kuvaa kaptula hakusaidii kuwa mkakamavu nenda ka google jeshi la tanzania katika africa ni la ngapi kwa uwezo
Kuna Viumbe Duniani Vinaishi lakini walitakiwa Wasiitwe Binadamu bali Viumbe Vingine. Kwani umewahi Sikia Wapi Jeshini kuna Utaratibu wa Dini Flani au Umewahi Sikia Wapi Jeshini unafundishwa kubembeleza au umewahi Sikia Wapi Jeshini wanajenga Imani yako.Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mnawezaje kumjibu majibu marefu huyu mweka mada..? Ati mnamwambia kabisa jeshini haitakiwi hijab!.. kwa mtu mwenye ufahamu makini hawezi kuuliza swali lakipuuzi hivi! Mweka mada we ni pimbi tu Usiekuwa na akili pana!
nina mdogo wangu wa kike aliambiwa aende jkt baada ya kumaliza form six tumemwambia asiende sasa hivi yupo home anasubir muda ufike aende chuoNimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Sijibu kwa kutetea au kukosoa dini fulani.Katika dini ya kiislamu wanawake hawaruhusiwi kunyoa nywele pia ni wajibu kwao kusitiri mwili mzima. Ukihitaji ushahidi unaeza patiwa sio ujinga kuzungumzia suala hili bali kuna group linaathirika kimyakiya