Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,243
- 3,047
Mtoa mada mimi naona hapa umeingia chakike mtoto wa kiislam haswa mwanamke sio JKT,JWTZ wala Polisi na vikosi vyote hafai hata kwenda huko kujiunga na hivyo vikosi wapambanie tu kazi nyengine. Dini ya kiislam iko deep sana na kumlinda mtoto wakike kwenye mavazi na sheria zenginezo za kuchangamana na jinsia ya kiume kama mimi siwezi mruhusu mwanangu wakike aende huko labda kwa matakwa yake.