BAKWATA iingilie kati uvaaji wa wanawake wakiwa JKT

Hakuna muisilamu hata 1 anaeitambua imani yake na kuifuata akawa akajiunga kwenye majeshi wala siasa hawa wanawake na wanaume waliojiunga huko kwanza ukiwafuatilia vizuli huo uisilamu kwanza hawautaki pia hawajui na hawataki kuujua pia serikali aijawalazimisha kwenda huko
 
Sasa unataka watoto wa kike wakapige kwata huku wamevaa hijab?! Is it practicable?

Hata wakivaa suruali najua kwenu itakuwa haitoshi, kwasababu bado maumbile yao yataonekana, sasa unataka wavae vipi?
Jkt hakuna biti wa kiisilamu hata 1 ila kuna majina yakina hadija tu
 
Katika dini ya kiislamu wanawake hawaruhusiwi kunyoa nywele pia ni wajibu kwao kusitiri mwili mzima. Ukihitaji ushahidi unaeza patiwa sio ujinga kuzungumzia suala hili bali kuna group linaathirika kimyakiya
Lini serikali ililazimisha waisilamu kujiunga jkt?njaa yao ndio inayo wapeleka huko na kupinga kufuata mafundisho ya dini yao huku kwenye majeshi hakuna waisilamu bali kuna majina ya kiisilamu tu
 
Unaandika upumbavu, unaonywa, Bado unaendelea kuutetea upumbavu wako, huku ukijihesabu kuwa ni mmoja kati ya watu wajuaji na mwenye misimamo. Nimekuuliza na ungenijibu Ili uoneshe upumbavu wazi. Je, mkristo akivaa kama mkristo jeshini, Rasta farrian akivaa kama Rasta farrian jeshini, Budha akivaa kibudha jeshini, muislamu AVAE kiislamu jeshini, mashahidi wa Jehova wavae Yale mapama Yao jeshini, nk. Je kutakuwa na JESHI hapo au maonesho ya kidini?. Jione jinsi ulivyo mjinga. Au unaka waislamu TU ndio wapewe nafasi ya kuvaa kama waislamu???.
 
We ungekuwa karibu ungeshanipiga tayari inaonekana!!!

Basi bwana yaishe!
 
Huna akili kabisa na kwa ujinga huo unaowaza huna elimu wala kazi. We ni mzigo kwa taifa.
 
Mnawezaje kumjibu majibu marefu huyu mweka mada..? Ati mnamwambia kabisa jeshini haitakiwi hijab!.. kwa mtu mwenye ufahamu makini hawezi kuuliza swali lakipuuzi hivi! Mweka mada we ni pimbi tu Usiekuwa na akili pana!
Sahihi
 
Katika dini ya kiislamu wanawake hawaruhusiwi kunyoa nywele pia ni wajibu kwao kusitiri mwili mzima. Ukihitaji ushahidi unaeza patiwa sio ujinga kuzungumzia suala hili bali kuna group linaathirika kimyakiya
Hata hivyo kuna group jingine linaathirika kupitia kuchinja.

Ya serikali tuyaachie serikali ya dini tuyaache kidini,tusichanganye mambo kwani baadae sana yatakuja kutuchanganya sana na tusijue wapi tuanze kutatua.
 
Hawakulazimishwa kwenda JKT.Kwa hiyo sio dharura kwa mabinti wa kiislamu.Lakini pia wengi waendao huko ni wale waislam 'kwa majina tu';wala hawajitambui.Na hao BAKWATA naisikia wakati wa kutangaza mwezi na kwenye kamati ya amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…