Unaandika upumbavu, unaonywa, Bado unaendelea kuutetea upumbavu wako, huku ukijihesabu kuwa ni mmoja kati ya watu wajuaji na mwenye misimamo. Nimekuuliza na ungenijibu Ili uoneshe upumbavu wazi. Je, mkristo akivaa kama mkristo jeshini, Rasta farrian akivaa kama Rasta farrian jeshini, Budha akivaa kibudha jeshini, muislamu AVAE kiislamu jeshini, mashahidi wa Jehova wavae Yale mapama Yao jeshini, nk. Je kutakuwa na JESHI hapo au maonesho ya kidini?. Jione jinsi ulivyo mjinga. Au unaka waislamu TU ndio wapewe nafasi ya kuvaa kama waislamu???.