BAKWATA iingilie kati uvaaji wa wanawake wakiwa JKT

Hivi nyie mnajikuta kina nani?
 
Nakumbuka enzi hizo KANEMBWA kuna mlokole mmoja akitoka tu kula jioni anaenda kusali porini , punde si punde idadi ya waumini ikaanza kuongezea wakafika takriban 30 …jamaa wakatuma kikosi kazi kuwashughulikia mida ya sala ma-RP na MP wakawavamia wakawalamba viboko vya kutosha …kesho yake hakuna mtu aliyesogelea kanisa-pori
 
katika vita ya maisha adui hajui wewe kama mwislam
 


Pale siyo msikitini ukitaka KUVAA hijabu baki kwenu uende msikitini. Hizo ni sheria na taratibu zilizopo.
 
Bwashee kila kitu mnataka nyie tu? Hebu sisi Wagalatia tupeni break tupumue!
 
Katika dini ya kiislamu wanawake hawaruhusiwi kunyoa nywele pia ni wajibu kwao kusitiri mwili mzima. Ukihitaji ushahidi unaeza patiwa sio ujinga kuzungumzia suala hili bali kuna group linaathirika kimyakiya
Wakivaa hizo hijabu wanatulia? Hebu ropoka tukupe ushahidi wa madudu
 
Kwani vijana WA kiislamu jeshini, waajiriwa wanavaa hijab, tuanzie hapo Kwanza
 
Katika dini ya kiislamu wanawake hawaruhusiwi kunyoa nywele pia ni wajibu kwao kusitiri mwili mzima. Ukihitaji ushahidi unaeza patiwa sio ujinga kuzungumzia suala hili bali kuna group linaathirika kimyakiya
napia katika jeshi haliitaji kuruta kuwa na nywele ndefu, kwahiyo utaamua ww kumpeleka mwanao jkt akapate mafunzo au ubaki nae nyumban ,halafu usisemee uisilamu tuu kule hata wasabato jmos wanapiga kazi kama kawa .Elewa tuu ukifika tuu getini unaambiwa mule ndani hakuna dini, utakutana na nembo pale ina neno moja tuu UMOJA.
 
Kwamba waende parade na hijab sio?! Hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…