BAKWATA ilianzishwa na nani na ni kwa maslahi ya nani?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Hawa BAKWATA Ni nani na walianzishwa na Nani na kwa maslahi ya Nani?

Rwanda wanaonaje mwezi kabla ya Zanzibar?

Uganda, Kenya na Burudi na Kongo Leo ni Idd

Lakini wao wanasema mpaka kesho

Kalenda ya nchi Leo inanyesha ni idd wao wanasema kesho.

Nauliza wapo kwa maslahi ya Nani Nani anawaendesha BAKWATA?
 
Uganda, Kenya na Burudi na Kongo Leo ni idd

Je BAKWATA wapo chini ya TISS nauliza tu wadau.
Umeuliza swali na umejibu tena peke yako?😑. Sasa sisi wachangiaji tujibu nini?
 
Hawa BAKWATA Ni nani na walianzishwa na Nani na kwa maslahi ya Nani?

Rwanda wanaonaje mwezi kabla ya Zanzibar?

Uganda, Kenya na Burudi na Kongo Leo ni idd

Lakini wao wanasema mpaka kesho

Kalenda ya nchi Leo inanyesha ni idd wao wanasema kesho.

Nauliza wapo kwa maslahi ya Nani Nani anawaendesha BAKWATA?

Je BAKWATA wapo chini ya TISS nauliza tu wadau.
IMG_20260320_180806.jpg
IMG_20260320_180824.jpg
 
Hawa BAKWATA Ni nani na walianzishwa na Nani na kwa maslahi ya Nani?

Rwanda wanaonaje mwezi kabla ya Zanzibar?

Uganda, Kenya na Burudi na Kongo Leo ni Idd

Lakini wao wanasema mpaka kesho

Kalenda ya nchi Leo inanyesha ni idd wao wanasema kesho.

Nauliza wapo kwa maslahi ya Nani Nani anawaendesha BAKWATA?
Walianzishwa na TANU (now CCM) kwa manufaa ya TANU (now CCM). Hilo la maslahi ya waislamu ni incidental tu!
 
kwa mujibu wa poda mahakama kuu inasema muanzilishi hajulikani maana katiba ya kwanza imeshindikana kupelekwa mahakamni
 
Hawa BAKWATA Ni nani na walianzishwa na Nani na kwa maslahi ya Nani?

Rwanda wanaonaje mwezi kabla ya Zanzibar?

Uganda, Kenya na Burudi na Kongo Leo ni Idd

Lakini wao wanasema mpaka kesho

Kalenda ya nchi Leo inanyesha ni idd wao wanasema kesho.

Nauliza wapo kwa maslahi ya Nani Nani anawaendesha BAKWATA?
Bakwata ni Jumuiya ya CCM kama ilivyo UVCCM, UWT na WAZAZI, na jukumu kubwq la Jumuiya hii ni kuwaghilb Waislam waiunge mkono CCM.
 
Mzee Mohamed Said aliwahi kueleza hili vyema.... anyway akipita hapa ataeleza tena.
 
Back
Top Bottom