CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Bakwata ni Jumuiya ya CCM kama ilivyo UVCCM, UWT na WAZAZI, na jukumu kubwq la Jumuiya hii ni kuwaghilb Waislam waiunge mkono CCM.Hawa BAKWATA Ni nani na walianzishwa na Nani na kwa maslahi ya Nani?
Rwanda wanaonaje mwezi kabla ya Zanzibar?
Uganda, Kenya na Burudi na Kongo Leo ni Idd
Lakini wao wanasema mpaka kesho
Kalenda ya nchi Leo inanyesha ni idd wao wanasema kesho.
Nauliza wapo kwa maslahi ya Nani Nani anawaendesha BAKWATA?