Now and then
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 613
- 1,729
IamueBakwata ikiamua kuwa mbali na dola na kufanya siasa,hapatokalika hapa
Kwahiyo ni tawi la sisiemuBakwata ikiamua kuwa mbali na dola na kufanya siasa,hapatokalika hapa
Wote matawi,ila tawi moja hukereka rais akiwa siyo muamini waoKwahiyo ni tawi la sisiemu
Wwe utatuita Magaidi ...Mtafute Shkhe Ilunga ,watu walizozana na Nyerere wakawekwa ndani.Iamue
Mbona Walikuwa wanamkosoa Magufuli ?Wote matawi,ila tawi moja hukereka rais akiwa siyo muamini wao
Kama hamtalipua watu na kulazimisha sheria za dini hamuwezi kuitwa magaidi.Wwe utatuita Magaidi ...Mtafute Shkhe Ilunga ,watu walizozana na Nyerere wakawekwa ndani.
BAKWATA ubwaubwa hao wengi hakuna shule kichwani wamekariri kiarabu tu, huo uwezo wa kuchambua mambo mazito wanautoa wapi?Bakwata ikiamua kuwa mbali na dola na kufanya siasa,hapatokalika hapa
Taarifa zitafika mpka kwa wazungu ,kule USA wakiandamana Wengine haina shida ila wakiandamana waislamu hata kama sio jambo la dini ,wanaitwa Magaidi.Tukiongea ukweli tunaitwa magaidi mkuu acha tuwe machawa😁😁😃😃
Wemgi vilazaBAKWATA ubwaubwa hao wengi hakuna shule kichwani wamekariri kiarabu tu, huo uwezo wa kuchambua mambo mazito wanautoa wapi?
Wapi tulilazimisha sheria na Mahakamani hata BAKWATA hawana ...Kiufupi waislamu wanaogopwa ila hao wavaa suti hamna cha maana wala hawawezi kuitisha serikali.Kama hamtalipua watu na kulazimisha sheria za dini hamuwezi kuitwa magaidi.
Kweli mkuu, tutakuwa kama Afghanistan hawa BAKWATA wakiamua kuwa taleban. Bora tukae hivihivi na hawa maaskofu maana wanabweka tuu hawaumi.Bakwata ikiamua kuwa mbali na dola na kufanya siasa,hapatokalika hapa
Kova 😂😂Bakwata ikiamua kuwa mbali na dola na kufanya siasa,hapatokalika hapa
Naomba waraka wa TEC siku ya pasaka au xmassMbona Walikuwa wanamkosoa Magufuli ?
Waislam wakifanya kama hao maaskofu wanavyofanya,mtawaita magaidi,Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .
Juzi katika balaza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
Hii inaukweli maneno ya Maaskofu akiyarudia Sheikh Ponda kesho tu Gerezani…#kristoamefufuka.BAKWATA na waislamu wakifanya siasa wataitwa magaidi ,kiufupi hao maaskofu hawatishi ni kama wamekariri hayo maneno🤣🤣🤣akiongea mzee wa jihad hapo mpaka wazungu wataletwa kulinda amani.
Maaskofu hawatishi wengi wamekaa rojorojo .Hii inaukweli maneno ya Maaskofu akiyarudia Sheikh Ponda kesho tu Gerezani…#kristoamefufuka.