komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,523
Hawajisumbui kukemea sababu ya Imani moja na mtawala.Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .
Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.