johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Tofautisha bakwata na akina shehe Ponda 😂😂Kweli mkuu, tutakuwa kama Afghanistan hawa BAKWATA wakiamua kuwa taleban. Bora tukae hivihivi na hawa maaskofu maana wanabweka tuu hawaumi.
Tofautisha bakwata na akina shehe Ponda 😂😂Kweli mkuu, tutakuwa kama Afghanistan hawa BAKWATA wakiamua kuwa taleban. Bora tukae hivihivi na hawa maaskofu maana wanabweka tuu hawaumi.
Watakosa moshahara. Wao ni wakujipendekeza miaka yoteBakwata ikiamua kuwa mbali na dola na kufanya siasa,hapatokalika hapa
Wanaruka madaTofautisha bakwata na akina shehe Ponda 😂😂
Tangu lini viongozi wa kiislam hutegemea mshahara!?..wao Wana shughuli zao,wale wala bure kule parokia ndiyo inabidi wawe karibu na dolaWatakosa moshahara. Wao ni wakujipendekeza miaka yote
Nenda kachunguze kabla hujaropoka. BAKWATA ni egesho la serikali kupooza uislamuTangu lini viongozi wa kiislam hutegemea mshahara!?..wao Wana shughuli zao,wale wala bure kule parokia ndiyo inabidi wawe karibu na dola
Jua kung'amua hoja kwenye andiko au kauli,hoja hapo viongozi wa kiislam Wana shughuli zao za kuingiza vipatoNenda kachunguze kabla hujaropoka. BAKWATA ni egesho la serikali kupooza uislamu
Sasa swali linakuja ni lini waislamu kwenye hizo nchi waliandamana kwa mambo ambayo siyo ya dini wao hakuna cha maana wanachojali zaidi ya dini yao tu, na ndio maana hata wakiandamana hakuna aliye tayari kuwasikiliza maana maandamano yao hayana msaada wowote kwa taifa, kwenye huu uzi kila mtu anasema waislamu hawawezi kuandamana sababu wanaogopa wataitwa magaidi ila ingekuwa msikiti umechomwa moto wote mngeandamana na msingefikiria hilo la kuitwa magaidi yani ninyi unafiki sijui mtaacha liniTaarifa zitafika mpka kwa wazungu ,kule USA wakiandamana Wengine haina shida ila wakiandamana waislamu hata kama sio jambo la dini ,wanaitwa Magaidi.
Kwenda zako huko nani hajuiBakwata ikiamua kuwa mbali na dola na kufanya siasa,hapatokalika hapa
Tabia zenu za kishari shariBAKWATA na waislamu wakifanya siasa wataitwa magaidi ,kiufupi hao maaskofu hawatishi ni kama wamekariri hayo maneno🤣🤣🤣akiongea mzee wa jihad hapo mpaka wazungu wataletwa kulinda amani.
Nani aongee hivyo?BAKWATA na waislamu wakifanya siasa wataitwa magaidi ,kiufupi hao maaskofu hawatishi ni kama wamekariri hayo maneno🤣🤣🤣akiongea mzee wa jihad hapo mpaka wazungu wataletwa kulinda amani.
Kanisa, catholic na Lutheran ni matawiKwenda zako huko nani hajui
Lile ni tawi la sisiem
BAKWATA ni Jumuiya ya ChamaBakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .
Juzi katika balaza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
According to ChiondaBakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .
Juzi katika balaza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
AaahhaaaaBAKWATA ni Jumuiya ya Chama
🤔🤔🤔🤔🤔Wapi tulilazimisha sheria na Mahakamani hata BAKWATA hawana ...Kiufupi waislamu wanaogopwa ila hao wavaa suti hamna cha maana wala hawawezi kuitisha serikali.
Gentleman,Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .
Juzi katika balaza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
🤔🤔🤔🤔🤔Bakwata ikiamua kuwa mbali na dola na kufanya siasa,hapatokalika hapa
Bakwata tawi...ama jumuiya. Kama UWTBakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .
Juzi katika balaza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
Hata Chadema ni Jumuiya ya CCMBAKWATA ni Jumuiya ya Chama