Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
🤣🤣Unalia nn?Sasa swali linakuja ni lini waislamu kwenye hizo nchi waliandamana kwa mambo ambayo siyo ya dini wao hakuna cha maana wanachojali zaidi ya dini yao tu, na ndio maana hata wakiandamana hakuna aliye tayari kuwasikiliza maana maandamano yao hayana msaada wowote kwa taifa, kwenye huu uzi kila mtu anasema waislamu hawawezi kuandamana sababu wataitwa magaidi ila ingekuwa msikiti umechomwa moto wote mngeandamana na msingefikiria hilo la kuitwa magaidi yani ninyi jamaa unafiki sijui mtaacha lini