gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Ilikua ak 47Shekhe ponda alipopigwa bastola kule Morogoro ulikuwa bado unachunga kijijini kwenu.
Ilikua ak 47Shekhe ponda alipopigwa bastola kule Morogoro ulikuwa bado unachunga kijijini kwenu.
Maaskofu wanatumia hekima na biashara, hao wengine ni vitisho na mabavuBAKWATA na waislamu wakifanya siasa wataitwa magaidi ,kiufupi hao maaskofu hawatishi ni kama wamekariri hayo maneno🤣🤣🤣akiongea mzee wa jihad hapo mpaka wazungu wataletwa kulinda amani.
haki inaambatana na wajibu tena wa kistaarabu,Wewe jamaa kabla AMANI inaanza HAKI!
Huwezi kuhubiri amani bila kusimamia HAKI!
Ukipora michakato ya HAKI jiandae kupata hofu!
Mwambieni SASHA ukweli!
Magufuli alikuwa muisilamu.Wote matawi,ila tawi moja hukereka rais akiwa siyo muamini wao
namkubal akiyewah kuwa igp aziz. alipewa amri kumkamata muft hassan bin ameir. akagoma. akasema must hawez kuwa mhainiTukiongea ukweli tunaitwa magaidi mkuu acha tuwe machawa😁😁😃😃
Watu hawajosoma watamsumbua nani,ebu na waamue tuoneBakwata ikiamua kuwa mbali na dola na kufanya siasa,hapatokalika hapa
Bakwata hawa hawa waliojazana mashekhe ubwabwa au kuna bakwata nyengine??Bakwata ikiamua kuwa mbali na dola na kufanya siasa,hapatokalika hapa
Bakwata wakitangaza kufunga au kufungua,mamilioni ya waislam hufuata,wakiamua kuingia kwenye siasa kama kanisa maana yake wataungana na akina pondaBakwata hawa hawa waliojazana mashekhe ubwabwa au kuna bakwata nyengine??
Hizo story za mariam na Yosef walizopatia degree mapadre,hao masheikh wamezisoma vizuri tu tena critically,kiasi padre hawezi simama na mazinge wajadili bibliaWatu hawajosoma watamsumbua nani,ebu na waamue tuone
Bakwata ilianzishwa na Nyerere na bob makaniBakwata wakitangaza kufunga au kufungua,mamilioni ya waislam hufuata,wakiamua kuingia kwenye siasa kama kanisa maana yake wataungana na akina ponda
Bakwata sio taasisi ya waisilamu mbona uwelewi au na wewe mwalimu wako kipofuBakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .
Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
Shehe ILUNGABakwata ikiamua kuwa mbali na dola na kufanya siasa,hapatokalika hapa
Hamas ilianzishwa na israel,alqaeda na USABakwata ilianzishwa na Nyerere na bob makani
TEC ni wajuzi zaidi hilo liko wazi,sababu elimu iko kichwani huwezi linganisha wa BAKWATA waliokariri kiarabuHoja ya kijinga kabisa hii. Na mbaya zaidi kuna watu wanaiunga mkono. Kwa Tanzania BAKWATA, TEC, ELCT na vingine vyote vina haki sawa. Kama unafikiri eti TEC ndio wajuzi zaidi, dogo umepotea!
😁😁😁😁 Apo ndipo napo idharau dini yenu😁😁😁😁 yani mazinge ajadili bibilia are you serious 😁😁😁Hizo story za mariam na Yosef walizopatia degree mapadre,hao masheikh wamezisoma vizuri tu tena critically,kiasi padre hawezi simama na mazinge wajadili biblia
Bakwata ni hopelessTEC ni wajuzi zaidi hilo liko wazi,sababu elimu iko kichwani huwezi linganisha wa BAKWATA waliokariri kiarabu
,😁😁😁😁 so what??Hamas ilianzishwa na israel,alqaeda na USA