Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa weledi mkubwa Maaskofu

Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa weledi mkubwa Maaskofu

BAKWATA na waislamu wakifanya siasa wataitwa magaidi ,kiufupi hao maaskofu hawatishi ni kama wamekariri hayo maneno🤣🤣🤣akiongea mzee wa jihad hapo mpaka wazungu wataletwa kulinda amani.
Upo sahihi kwa asilimia 1000% waislam wakiichukulia serious siasa asubuhi na mapema CCM inatoka ikulu na ndio maana CCM wamejifungisha ndoa ya lazima na Bakwata.
 
Naomba matamko ya TEC dhidi ya magu
Walishapost humu na nlikuona ukishiriki kuchangia , unajitoa ufahamu mapema hv ?

Pili tuache kemea utekaji kisa hatukukemea utekaji kipind cha Magu? Hii ndo logic yako?

au unamaanisha Samia anaonewa tu hakuna utekaj wala mauaji ya raia wanaokosoa utendaj mbovu wa Samia mf Soka , Sativa etc
 
Uchambuzi wa BAKWATA tujikumbushe👇

AMANI ni tunda la HAKI. NO REFORMS NO ELECTION.
 
Kama hamtalipua watu na kulazimisha sheria za dini hamuwezi kuitwa magaidi.
Hizi siasa nyepesi nyepesi za kupaka upepo rangi zinazo fanywa na katoliki siku ndoa ya lazima kati ya CCM na bakwata ikivunjika na waislam wakaingia serious katika siasa za nchi utakuja hapa na maandiko yasiyoishi ukiita magaidi.

Waislam hawafanyagi siasa nyepesi za kilaghai wanafanya siasa ngumu ambazo hata wewe haupo tayari kwa matokeo yake sidhani hata kama utakuwepo nchini siku waislam wakianza siasa bora uwaache kama tu walivyo hivyo mtaendelea na hii amani fake ya CCM mliyonayo
 
Viongozi wa dini wanapaswa kuisimamia na kuikosoa serikali pale inapoenda tofauti na si kulamba miguu watawala
 
Mtawalaumu bure bakwata, hao maaskofu ni watu ambao wako well educated....
 
Hao BAKWATA Tuwaache jamani waendelee kulala, na Kumhubiri Mtume na kula Daku.

Maana siku wakiamka, Hapata tawalika.
Hawa watu wanaotaka waislam wafanye siasa wenda hata historia ya nchi hawaijui au hata yanayo endelea duniani, ila siku waislam wakichulia siasa serious CCM na hivi vyombo vyake vya dola ni wachumba tu.
 
Wakristo hawana nguvu ,labda wewe una matatizo ya akili ...Huku kanda ya ziwa na sherehe za mavuno sio za kikristo ...Nimekaa huko so usileta ushamba wako hapa...

Kanda ya ziwa kuna atheists sio wakristo.ni watu wanafuata makabila .
Hawana nguvu za kijinga ila wana nguvu za kifikira
 
Wakristo hawana nguvu ,labda wewe una matatizo ya akili ...Huku kanda ya ziwa na sherehe za mavuno sio za kikristo ...Nimekaa huko so usileta ushamba wako hapa...

Kanda ya ziwa kuna atheists sio wakristo.ni watu wanafuata makabila .
Wewe mbumbumbu kweli kweli,
 
Hizi siasa nyepesi nyepesi za kupaka upepo rangi zinazo fanywa na katoliki siku ndoa ya lazima kati ya CCM na bakwata ikivunjika na waislam wakaingia serious katika siasa za nchi utakuja hapa na maandiko yasiyoishi ukiita magaidi.

Waislam hawafanyagi siasa nyepesi za kilaghai wanafanya siasa ngumu ambazo hata wewe haupo tayari kwa matokeo yake sidhani hata kama utakuwepo nchini siku waislam wakianza siasa bora uwaache kama tu walivyo hivyo mtaendelea na hii amani fake ya CCM mliyonayo
Kama BAKWATA watapigania haki za raia wote wataungwa mkono ila wakiingiza udini kama mambo ya mahakama ya kadhi lazima wapingwe tu, hakuna namna.
 
Upo sahihi kwa asilimia 1000% waislam wakiichukulia serious siasa asubuhi na mapema CCM inatoka ikulu na ndio maana CCM wamejifungisha ndoa ya lazima na Bakwata.
Ccm mnaitoa ikulu kwa uwezo gani mliokuwa nao? Wa kukariri kiarabu au......watu shule kichwani ni zero mna lipi mnaloliweza? nyinyi mnachoweza labda ni siku za eid kwenda kuomba misaada ya nyama kwa waarabu
 
Kama BAKWATA watapigania haki za raia wote wataungwa mkono ila wakiingiza udini kama mambo ya mahakama ya kadhi lazima wapingwe tu, hakuna namna.
Walimkaribisha Nyerere bila hata kujali udini wake.

Siku Waislam wakiamua serious kufanya siasa wewe utawaita magaidi hili na uhakika nalo wa 100% waacheni waishi maisha yao.

Hufahamu hatari ya unacho kiomba na hautakuwa tayari kupokea matokeo yake.
 
Ccm mnaitoa ikulu kwa uwezo gani mliokuwa nao? Wa kukariri kiarabu au......watu shule kichwani ni zero mna lipi mnaloliweza? nyinyi mnachoweza labda ni siku za eid kwenda kuomba misaada ya nyama kwa waarabu
Sawa.

Unaweza kuwa bado ni mdogo hata udogo tu wa historia ya nchi yako huifahamu
 
Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .

Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
Elimu elimu elimu elimu elimu elimu. Kina watu wanaamini kiongozi akishakua w dini yao hata akikosea haipasi kumkosoa. Ni bora wangebaki na huo msimamo lakini mbaya zaidi hata akikosolewa na watu wengine watainuka na kuanza kusema anakosolewa kwa sababu ya dini yake. Nimeona mpaka wasomi w phd wakiwa na hii mentality. Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom