Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa weledi mkubwa Maaskofu

Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa weledi mkubwa Maaskofu

Hizo story za mariam na Yosef walizopatia degree mapadre,hao masheikh wamezisoma vizuri tu tena critically,kiasi padre hawezi simama na mazinge wajadili bibli

😁😁😁😁 Apo ndipo napo idharau dini yenu😁😁😁😁 yani mazinge ajadili bibilia are you serious 😁😁😁
Kwa kweli mimi waislamu siwaelewagi coz asilimia kubwa ya muslim wana fikra fupi
 
BAKWATA na waislamu wakifanya siasa wataitwa magaidi ,kiufupi hao maaskofu hawatishi ni kama wamekariri hayo maneno🤣🤣🤣akiongea mzee wa jihad hapo mpaka wazungu wataletwa kulinda amani.
Sio kweli waislamu ni wachache sana Tz ni 18.5% ya watu wote Tz Tanzania wanaomtambua kuwa YESU ni bwana na mwokozi ni 67% na wengine kama unavyojua ww
 
Sio kweli waislamu ni wachache sana Tz ni 18.5% ya watu wote Tz Tanzania wanaomtambua kuwa YESU ni bwana na mwokozi ni 67% na wengine kama unavyojua ww
Waislam wakiona misikiti imejaa tanga,lindi na pwani wanajua wako wengi,shame on them
 
Sio kweli waislamu ni wachache sana Tz ni 18.5% ya watu wote Tz Tanzania wanaomtambua kuwa YESU ni bwana na mwokozi ni 67% na wengine kama unavyojua ww
Jidanganye ,nafikiria hata sharma za eid na pasaka unaona mwenyewe....🤣🤣Tafute askofu wako wavaa majoho ya usaliti kwenye harakati za uhuru. Waoga hapo kiufupi
 
Watajifunza wapi eneo la msikiti hapo Arusha lipo wazi ni eneo la msikiti kwa ajili ya kujenga msikiti mkubwa wao wameingia mkataba na mwarabu ili ajenge maduka mpaka Serikali imeingilia kati kusimamisha ujenzi Bakwata wao wapo kwenye upigaji tu na si kwa ajili ya kuendeleza uislamu..
 
Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .

Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
Wafahamu kuwa haki huinua taifa.
 
Jidanganye ,nafikiria hata sharma za eid na pasaka unaona mwenyewe....🤣🤣Tafute askofu wako wavaa majoho ya usaliti kwenye harakati za uhuru. Waoga hapo kiufupi
Mjomba waislamu wamejazana mikoa iliyoko kando kando ya bahari,lindi,tanga,mtwara,dsm ni 50-50,nenda kanda ya ziwa hao waislamu utawatafuta kwa tochi nenda kaskazini na kusini mwa nchi uone namba ya waislamu ilivyo chache
 
Tangu lini viongozi wa kiislam hutegemea mshahara!?..wao Wana shughuli zao,wale wala bure kule parokia ndiyo inabidi wawe karibu na dola
Kaka hawategemei shuguli zao 100%, tunajuaje, some of them ziaranzilikuwa hazikauki ofisin mwa viongozi, na wakienda hawatoki bure.
That was back then nikiwa ni gov, hata leo bado wanaendelea

Huwez fuatwa na viong kama huna power or huna influence na pesa somehow
 
Mjomba waislamu wamejazana mikoa iliyoko kando kando ya bahari,lindi,tanga,mtwara,dsm ni 50-50,nenda kanda ya ziwa hao waislamu utawatafuta kwa tochi nenda kaskazini na kusini mwa nchi uone namba ya waislamu ilivyo chache
Waislamu wapo kila kona ...Wapo watu hawana dini hasa mikoa ya kanda ya ziwa ... Waislamu wana sauti tangu nyinyi bado ni washamba ...Kiufupi waislamu wana nguvu hata harakati za uhuru nyie mlikuwa bado mazuzu ..Mikoa yeni ni ya juzi hapa ilikuwa ni washamba mnaishi porini.🤣
 
We umeishia darasa la ngapi ndugu,coz naona uelewa wako ni wa darasa la tatu F
 
We umeishia darasa la ngapi ndugu,coz naona uelewa wako ni wa darasa la tatu F
Wakristo hawana nguvu ,labda wewe una matatizo ya akili ...Huku kanda ya ziwa na sherehe za mavuno sio za kikristo ...Nimekaa huko so usileta ushamba wako hapa...

Kanda ya ziwa kuna atheists sio wakristo.ni watu wanafuata makabila .
 
Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .

Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
Wana ccm kindakindaki hao
 
BAKWATA na waislamu wakifanya siasa wataitwa magaidi ,kiufupi hao maaskofu hawatishi ni kama wamekariri hayo maneno🤣🤣🤣akiongea mzee wa jihad hapo mpaka wazungu wataletwa kulinda amani.
Kama Jumuiya ya Waislamu inabidi muige mfano wa Kanisa Katoliki, jengeni shule kama 2000 hivi , Vituo vya Afya hata 1000 na vyuo vikuu visipungue 20 mbona tutasikilizana vizuri tu
 
Kama Jumuiya ya Waislamu inabidi muige mfano wa Kanisa Katoliki, jengeni shule kama 2000 hivi , Vituo vya Afya hata 1000 na vyuo vikuu visipungue 20 mbona tutasikilizana vizuri tu
Hatufanyi biashara ,vituo vipo kila kona 🤣🤣🤣Tuna bank hazina riba ...Nyie bank zenu zina riba ,wewe mwenyewe hauna pesa wa kumsomesha mwanao hizo shule...Usiwe taahira hizo ni biashara hazitakiwi kwny uislamu...
.Basi wekeni hata maji ya bure kwa waumini wenu sio embe linauzwa elfu 50 ,na mashati yenu ya satini yamepauka mnafanyiwa biashara vya nn?
 
Sometimes tuangalie na elimu ya wahusika. Ma sheikh wote Tanzania, nani walau hata kafika form 6 bro? Elimu inakufanya uwezo kuona mambo katika UPANA wake and hence unaweza kuchambua na kupendekeza jambo mbadala. Hawa wanao shindwa hata kuendesha just shule tu ndio waweze kuchambua siasa? Hakuna mwenye uwezo huo pale Bakwata bro, waliosoma either hawataki mambo ya uongozi kwenye dini or hawachaguliwi. Mtu kama profesa Lipumba, Profesa Assad, profesa Safari nk, wakiatakiwa na Bakwata waendeshe taasisi zao, unajua zingekua mbali sana! Hakuna hata anae fikiri namna ya kuwatumia intellectuals kama hao kwenye taasisi zao, elimu, elimu, elimu
 
Back
Top Bottom