Mmmh hauna point nduguSawa.
Unaweza kuwa bado ni mdogo hata udogo tu wa historia ya nchi yako huifahamu
Mmmh hauna point nduguSawa.
Unaweza kuwa bado ni mdogo hata udogo tu wa historia ya nchi yako huifahamu
Tusielekee huko katika propaganda za kidini za Mohamed Said na kuharibu uzi.Walimkaribisha Nyerere bila hata kujali udini wake.
Siku Waislam wakiamua serious kufanya siasa wewe utawaita magaidi hili na uhakika nalo wa 100% waacheni waishi maisha yao.
Hufahamu hatari ya unacho kiomba na hautakuwa tayari kupokea matokeo yake.
wanawaza ubwabwa tuBakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .
Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
Muslims mungu awarehemu sana,hasa hawa black Muslims bado wako nyuma sana ndo maana siku za ijumaa wanaenda misikiti ya waarabu kuomba vikilo viwili vitatu vya sukari na ungaTusielekee huko katika propaganda za kidini za Mohamed Said na kuharibu uzi.
Ishu sio biashara, ishu ni heshima na kusikilizwa, jengeni hivyo vyote afu huduma mtoe bila ribaHatufanyi biashara ,vituo vipo kila kona 🤣🤣🤣Tuna bank hazina riba ...Nyie bank zenu zina riba ,wewe mwenyewe hauna pesa wa kumsomesha mwanao hizo shule...Usiwe taahira hizo ni biashara hazitakiwi kwny uislamu...
.Basi wekeni hata maji ya bure kwa waumini wenu sio embe linauzwa elfu 50 ,na mashati yenu ya satini yamepauka mnafanyiwa biashara vya nn?
Wapi Sheikh Ponda ( kwa sauti ya Langa)BAKWATA na waislamu wakifanya siasa wataitwa magaidi ,kiufupi hao maaskofu hawatishi ni kama wamekariri hayo maneno🤣🤣🤣akiongea mzee wa jihad hapo mpaka wazungu wataletwa kulinda amani.
Na ndio maana nimekuambia haupo tayari kwa matokeo ya unacho ki wish.Tusielekee huko katika propaganda za kidini za Mohamed Said na kuharibu uzi.
Kufikria kuna nn cha maana ,hayo matako kwani wameanza leo?Hawana nguvu za kijinga ila wana nguvu za kifikira
HaahWapi Sheikh Ponda ( kwa sauti ya Langa)
Lete banaWalishapost humu na nlikuona ukishiriki kuchangia , unajitoa ufahamu mapema hv ?
Pili tuache kemea utekaji kisa hatukukemea utekaji kipind cha Magu? Hii ndo logic yako?
au unamaanisha Samia anaonewa tu hakuna utekaj wala mauaji ya raia wanaokosoa utendaj mbovu wa Samia mf Soka , Sativa etc
Naona unalia lia ,vitu vipo na wafanyabiashara wapo ..Kila madrasa hapa kwetu ila Day care ...Hatujawahi kujifananisha na nyie ila nyie mnapenda kujifananisha na sisi.Ishu sio biashara, ishu ni heshima na kusikilizwa, jengeni hivyo vyote afu huduma mtoe bila riba
Ukiwa na taasisi hizo zote chini ya mwavuli wako basi wewe ni mbadala wa serikali kabisa
Hivi imagine chochote kitokee kwa uongozi wa kiserikali kanisa lina rasilimali watu ya kutosha kuongoza nchi wakati wenzetu hapo hamjajenga hiyo capacity
Wakishapewa ubwabwa wana poteza haki ya kukosoa.Kuna mpumbavu kisa ma askofu wameongea anataka serikali ivunje MOU na kanisa asujue hata yeye MOU ina msaidiaBakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .
Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
Lakini waislamu weupe,yaan arabs wana uelewa na wanasoma,lakini hawa vigagulo weusi,ujinga ni wao umaskini ni wao kutojielewa ni wao......Wale wameathiriwa akili na mafundisho ya imani yao ya akhera. Mambo ya kidunia kwao si kipaumbele, udini umewajaa na kuwaharibu ufahamu wa mambo muhimu ya kidunia. Anzia ngazi ya chini kabisa huwezi kukuta sheikh hata wa msikiti wa mtaani/kijijini ni msomi wa mambo ya kidunia, ni watu wa ajabu sana wale hawajifunzi mambo ya kilimwengu, ni dini yao tu, wameharibu mpaka vizazi vyao havina uwezo mkubwa wa kuchambua mambo ya kidunia labda mwislam aasi imani hiyo ndiyo huwa na ufahamu wa mambo mengi muhimu ya kidunia
Waislamu wakiamia kufanya siasa utaweza kuhimili?
Uislamu umewaruhusu waislamu matumizi ya nguvu baada ya dhulma ya wazi, na baada ya njia zote za amani kushindikana.
Hiyo njia unaweza kuihimili?
Na akifika hiyo njia uislamu unamwambia ukimdhuru dhalimu unapata thawabu na akikudhuru wewe unayepambania kuondoa udhalimu wako unapata thawabu na hata kama akikuua malipo yake ni peponi.
Vipi waislamu wakiitumia hii njia
Hiyo njia labda wakaitumie somalia,Tanzania hawana nafasi hiyoWaislamu wakiamia kufanya siasa utaweza kuhimili?
Uislamu umewaruhusu waislamu matumizi ya nguvu baada ya dhulma ya wazi, na baada ya njia zote za amani kushindikana.
Hiyo njia unaweza kuihimili?
Na akifika hiyo njia uislamu unamwambia ukimdhuru dhalimu unapata thawabu na akikudhuru wewe unayepambania kuondoa udhalimu wako unapata thawabu na hata kama akikuua malipo yake ni peponi.
Vipi waislamu wakiitumia hii njia upo tayari?
Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .
Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
Sasa waacheni waishi kwa njia waliyoamua, msiwabughudhi.Hiyo njia labda wakaitumie somalia,Tanzania hawana nafasi hiyo
😁😁😁Bakwata wakipigwa pilau nyama tu, wanafanya dua mwaka mzima ya kumuombea mama!! Masheikh wa ajabu sana wale.