mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
pambaneni wenyewe..
mnataka wapewe kesi za ugaidi?
mnataka wapewe kesi za ugaidi?
Ni wakati sasa kwa Waislam kote nchini kushikamana na Shura ya Maimamu! Bakwata inawadhalilisha Waislam, na kuwafanya waonekane wote hamnazo. Kumbe ni wale Masheikh wao pekee ndiyo wanaozingua.
Unaijua JWTZ? mlijaribu amboni tanga,kibiti pwani na mtwara huko kote mlitepeta tena kipindi cha amboni alikuwepo mvaa kobazi mwenzenu kabisa, nyinyi uchawa tu ndio mnaweza mkipewa ubwabwa kwisha habari yenu maana kichwani emptyHizi siasa nyepesi nyepesi za kupaka upepo rangi zinazo fanywa na katoliki siku ndoa ya lazima kati ya CCM na bakwata ikivunjika na waislam wakaingia serious katika siasa za nchi utakuja hapa na maandiko yasiyoishi ukiita magaidi.
Waislam hawafanyagi siasa nyepesi za kilaghai wanafanya siasa ngumu ambazo hata wewe haupo tayari kwa matokeo yake sidhani hata kama utakuwepo nchini siku waislam wakianza siasa bora uwaache kama tu walivyo hivyo mtaendelea na hii amani fake ya CCM mliyonayo
Waache siasa za mapanga sasa. Wahubiri Haki.BAKWATA na waislamu wakifanya siasa wataitwa magaidi ,kiufupi hao maaskofu hawatishi ni kama wamekariri hayo maneno🤣🤣🤣akiongea mzee wa jihad hapo mpaka wazungu wataletwa kulinda amani.
😀😀😀siku hizi hadi maimamu ni usalama wa taifa usije ukajichanganya
Siasa gani zilizokuwa zikifanyika huko ?Unaijua JWTZ? mlijaribu amboni tanga,kibiti pwani na mtwara huko kote mlitepeta tena kipindi cha amboni alikuwepo mvaa kobazi mwenzenu kabisa, nyinyi uchawa tu ndio mnaweza mkipewa ubwabwa kwisha habari yenu maana kichwani emty
Unataka waitwe magaidi?Ni wakati sasa kwa Waislam kote nchini kushikamana na Shura ya Maimamu! Bakwata inawadhalilisha Waislam, na kuwafanya waonekane wote hamnazo. Kumbe ni wale Masheikh wao pekee ndiyo wanaozingua.
🤣🤣Waache siasa za mapanga sasa. Wahubiri Haki.
Acha UchocheziBakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .
Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
Exactly yesNi wakati sasa kwa Waislam kote nchini kushikamana na Shura ya Maimamu! Bakwata inawadhalilisha Waislam, na kuwafanya waonekane wote hamnazo. Kumbe ni wale Masheikh wao pekee ndiyo wanaozingua.
Vyama vya uhuru vyenyewe viliongozwa na wagalatia haya nyinyi mna historia gani na nchi? Ulishawahi kusikia habari ya martin kayamba?watu wanawachora tu na stori zenu na mohamed said ila ukweli unajulikana na nyinyi mnaujua sanaSawa.
Unaweza kuwa bado ni mdogo hata udogo tu wa historia ya nchi yako huifahamu
Sawa hongera kwa kuijua historia yako upo vizuri kuliko wanazuoni wote.Vyama vya uhuru vyenyewe viliongozwa na wagalatia haya nyinyi mna historia gani na nchi? Ulishawahi kusikia habari ya martin kayamba?watu wanawachora tu na stori zenu na mohamed said ila ukweli unajulikana na nyinyi mnaujua sana
Bakwata ni waislamu na muislamu kesha proof kuwa hana akili yoyote kwa kushindwa kumtamua muhammad kuwa ni muongo na mtume feki sawa na mwamposa na kiboko ya wachawi koko.Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .
Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
😃😃Vyama vya uhuru vyenyewe viliongozwa na wagalatia haya nyinyi mna historia gani na nchi? Ulishawahi kusikia habari ya martin kayamba?watu wanawachora tu na stori zenu na mohamed said ila ukweli unajulikana na nyinyi mnaujua sana
Huu ndio ukweli.Wapi tulilazimisha sheria na Mahakamani hata BAKWATA hawana ...Kiufupi waislamu wanaogopwa ila hao wavaa suti hamna cha maana wala hawawezi kuitisha serikali.
Kweli.. hakuna watu wenye misimamo kama waisilamu wakiamua jambo..ila hakuna watu wanafki kama waisilamu wakiamua kukufanyia unafki utafurahBakwata ikiamua kuwa mbali na dola na kufanya siasa,hapatokalika hapa
KweliTangu lini viongozi wa kiislam hutegemea mshahara!?..wao Wana shughuli zao,wale wala bure kule parokia ndiyo inabidi wawe karibu na dola
Bakwata ipi hii hii ya mufti ABUBAKARI?Bakwata ikiamua kuwa mbali na dola na kufanya siasa,hapatokalika hapa
Kwa hiyo Bakwata na Dola ni kitu kimoja,kumbe wanaosema Bakwata ni Jumuiya ndani ya CCM wako sahihi kabisa.Bakwata ikiamua kuwa mbali na dola na kufanya siasa,hapatokalika hapa