BAKWATA mbona mnachelewa kumjibu msomi, jaji na Waziri mkuu staafu, Mzee Warioba

BAKWATA mbona mnachelewa kumjibu msomi, jaji na Waziri mkuu staafu, Mzee Warioba

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Assalam Alyekum!
Mashehe wa BAKWATA hatujawazoea hivo
Mnashindwa Nini kutoka kumjibu na kimtishia kumkata kichwa Mzee Warioba.
Mashehe wetu Bakwata nyie ndo wapenda amani, mlipigania uhuru

Njoo mpe majibu huyu Mzee

Au hamjapewa ubwabwa na pakiti ya tende
 
Wazee wa madevu na pekupeku wanatafuta gea ya kuingilia. Labda wanatafiti kwanza historia yake kwenye dini.
 
Muda huu TISS wako busy kutafuta aliyemuhoji Mzee Warioba.
Online TV zote zilizorusha utakuta tayar washafuatwa na kuhojiwa waeleze ni nani hasa aliwauzia hayo maudhui (aliisambaza kwao.)

Nina pata pia kuwaza kuwa huenda ni video ya siku za nyuma ila ilikuwa inasubiria siku maalumu ipandishwe hewani.

Just thinking tu.

Ukute pia walimhoji kuhusu katiba mpya ambao yeye alikuwa Chairman wa ile tume.
Ni jambo la muda . Wataachia tu vipande mdogo mdogo.
 
Muda huu TISS wako busy kutafuta aliyemuhoji Mzee Warioba.
Online TV zote zilizorusha utakuta tayar washafuatwa na kuhojiwa waeleze ni nani hasa aliwauzia hayo maudhui (aliisambaza kwao.)

Nina pata pia kuwaza kuwa huenda ni video ya siku za nyuma ila ilikuwa inasubiria siku maalumu ipandishwe hewani.

Just thinking tu.
Yawezakuwa ya nyuma kwa Trh iliyorushwa, lakini ni ya mbele ya matukio ya mauaji pamoja na kuundwa kwa 'tume huru' ya uchunguzi.
 
Wanasubiri muhonga ubwabwa awahonge ubwabwa haya mabwabwa ya kiislamu
 
Assalam Alyekum!
Mashehe wa BAKWATA hatujawazoea hivo
Mnashindwa Nini kutoka kumjibu na kimtishia kumkata kichwa Mzee Warioba.
Mashehe wetu Bakwata nyie ndo wapenda amani, mlipigania uhuru

Njoo mpe majibu huyu Mzee

Au hamjapewa ubwabwa na pakiti ya tende
Wanajipanga akili ndogo sana hao wanatafura point kwanza
 
Yawezakuwa ya nyuma kwa Trh iliyorushwa, lakini ni ya mbele ya matukio ya mauaji pamoja na kuundwa kwa 'tume huru' ya uchunguzi.

Yes.
Inawezekana kabisa.

Na Aliyemuhoji ni mwandishi huru.
Na kaisambaza kwa online TV.
Mic ile anayoongelea Warioba haina nembo yoyote ya kampun ya habar.

Means source haina hakimiliki .

Na alifanya makusudi kumhoj namna hiyo ili aiuze kwa Online Tv nying. Na huenda aliyemhoji muda huu hayuko TZ au yuko kijijin anakula Christmas.

Briliant Move.
 
Hao kobazi wapo wanapewa maelekezo na ccm,vya kuongea bado wapo wanakaririshwa script
 
Wanamalizia Juice ya tende kulainisha makoo, maana uongeaji wao wanatumia nguvu kubwa sana.
 
Assalam Alyekum!
Mashehe wa BAKWATA hatujawazoea hivo
Mnashindwa Nini kutoka kumjibu na kimtishia kumkata kichwa Mzee Warioba.
Mashehe wetu Bakwata nyie ndo wapenda amani, mlipigania uhuru

Njoo mpe majibu huyu Mzee

Au hamjapewa ubwabwa na pakiti ya tende
Bado wameshiba ubwabwa na nyama subirii njaa iwaume
 
Back
Top Bottom