Wazee wa madevu na pekupeku wanatafuta gea ya kuingilia. Labda wanatafiti kwanza historia yake kwenye dini.Assalam Alyekum!
Mashehe wa BAKWATA hatujawazoea hivo
Mnashindwa Nini kutoka kumjibu na kimtishia kumkata kichwa Mzee Warioba.
Mashehe wetu Bakwata nyie ndo wapenda amani, mlipigania uhuru
Njoo mpe majibu huyu Mzee
Au hamjapewa ubwabwa na pakiti ya tende
Wanasubiri wapewe script na MomboAssalam Alyekum!
Mashehe wa BAKWATA hatujawazoea hivo
Mnashindwa Nini kutoka kumjibu na kimtishia kumkata kichwa Mzee Warioba.
Mashehe wetu Bakwata nyie ndo wapenda amani, mlipigania uhuru
Njoo mpe majibu huyu Mzee
Au hamjapewa ubwabwa na pakiti ya tende
Yawezakuwa ya nyuma kwa Trh iliyorushwa, lakini ni ya mbele ya matukio ya mauaji pamoja na kuundwa kwa 'tume huru' ya uchunguzi.Muda huu TISS wako busy kutafuta aliyemuhoji Mzee Warioba.
Online TV zote zilizorusha utakuta tayar washafuatwa na kuhojiwa waeleze ni nani hasa aliwauzia hayo maudhui (aliisambaza kwao.)
Nina pata pia kuwaza kuwa huenda ni video ya siku za nyuma ila ilikuwa inasubiria siku maalumu ipandishwe hewani.
Just thinking tu.
Wanajipanga akili ndogo sana hao wanatafura point kwanzaAssalam Alyekum!
Mashehe wa BAKWATA hatujawazoea hivo
Mnashindwa Nini kutoka kumjibu na kimtishia kumkata kichwa Mzee Warioba.
Mashehe wetu Bakwata nyie ndo wapenda amani, mlipigania uhuru
Njoo mpe majibu huyu Mzee
Au hamjapewa ubwabwa na pakiti ya tende
Yawezakuwa ya nyuma kwa Trh iliyorushwa, lakini ni ya mbele ya matukio ya mauaji pamoja na kuundwa kwa 'tume huru' ya uchunguzi.
Mkuu haya mabwabwa ukiyapa ubwabwa unakuwa umemaliza kila kitu,ukimpa ubwabwa muislamu anakuombea mpaka thawabu kwa mola wakeππ Umenichekesha mno mkuu
Bado wameshiba ubwabwa na nyama subirii njaa iwaumeAssalam Alyekum!