BAKWATA mpeni adhabu ya kisharia shakh Walid Kawambwa hii itamsafisha na huu uchafu.

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,257
Reaction score
3,383
Jana Baraza kuu la waislamu Tanzania lilimfuta kazi shekh Walid shekh wa mkoa wetu wa Dar es salam kwa tuhuma za uzinzi

Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh

Fanyenye hivi kwasababu nyie na yeye ndiyo mnapaswa kusimamia sheria hizi ambazo yeye amezivunja

Ombeni kibali serikalini cha kutekeleza sharia hii kwa udhuru maalumu lengo letu iwe fundisho kwa watumishi wa Mungu wazinzi wenye kuharibu msisha ya mabinti zetu.
 
Hili ni jukwaa la siasa,hayo ya shehe ungepeleka kunakotakiwa
 
Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh
Tanzania sio nchi ya Kiislamu, it's a secular state, hatufuati sharia law, hivyo kwa mujibu wa sheria za nchi, kosa la uzinzi sio criminal offense ni crimes against morality, unless mhusika ni a minor!

Waislamu wanaruhusiwa kutumia sharia law kwenye family laws only, mambo ya ndoa, talaka, mirathi na wakfu only, makosa mengine yote sheria za nchi zinahusika.

Bahati mbaya sikuwahi kuisikia hii kesi ya uzinzi wa Sheikh wa mkoa, sharia ya Kiislamu inataka tukio hilo lishuhudiwe na watu wanaume wanne rijali, waapishwe kuwa walishuhudia kwa macho yao tendo likifanyika, na wameona ikiingia na ikitoka!, na baada ya uzinifu kama huyu mwanamke sio mke wa mtu, aliyemzini anaruhusiwa kumuoa, akimuoa, kesi inaishia hapo!.

Kama ni mke wa mtu, uzinifu anapaswa kwenda kwa mumewe na jambia, kumuomba msamaha mwenye mke kwa kumpa jambia na kumwambia kichwa changu halali yako, mwenye mke akimsamehe, kesi hiyo huishia hapo!.

Niko very interested kujua details za hii kesi ya uzinifu ya Sheikh wa Dar es Salaam, ila masheikh wa Dar!, nakumbuka kama Alhad Musa, naye alifutwa ushekhe wa mkoa kwa kisa cha mke wa Dr. Mwaka!.

P
 
Jana Baraza kuu la waislamu Tanzania lilimfuta kazi shekh Walid shekh wa mkoa wetu wa Dar es salam kwa tuhuma za uzinzi

Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh

Fanyenye hivi kwasababu nyie na yeye ndiyo mnapaswa kusimamia sheria hizi ambazo yeye amezivunja

Ombeni kibali serikalini cha kutekeleza sharia hii kwa udhuru maalumu lengo letu iwe fundisho kwa watumishi wa Mungu wazinzi wenye kuharibu msisha ya mabinti zetu.
Mtu hahukumiwi bila kusikilizwa kwanza
 
Jana Baraza kuu la waislamu Tanzania lilimfuta kazi shekh Walid shekh wa mkoa wetu wa Dar es salam kwa tuhuma za uzinzi
Yule alikua mkewe,acha kurukia rukia mambo
Halafu hakuna sharia ya kupiga mawe wazinzi kwenye uislam(Quran),hiyo ni kwenye biblia huko,mmeingiziwa vitu vya kuwatoa kwenye Quran
Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh

Fanyenye hivi kwasababu nyie na yeye ndiyo mnapaswa kusimamia sheria hizi ambazo yeye amezivunja

Ombeni kibali serikalini cha kutekeleza sharia hii kwa udhuru maalumu lengo letu iwe fundisho kwa watumishi wa Mungu wazinzi wenye kuharibu msisha ya mabinti zetu.
 
Tanzania sio nchi ya Kiislamu, it's a secular state, hatufuati sharia law, hivyo kwa mujibu wa sheria za nchi, kosa la uzinzi sio criminal offense ni crimes against morality, unless mhusika ni a minor!

Waislamu wanaruhusiwa kutumia sharia law kwenye family laws only, mambo ya ndoa, talaka, mirathi na wakfu only, makosa mengine yote sheria za nchi zinahusika.

Bahati mbaya sikuwahi kuisikia hii kesi ya uzinzi wa Sheikh wa mkoa, sharia ya Kiislamu inataka tukio hilo lishuhudiwe na watu wanaume watatu rihali, waapishwe kuwa walishuhudia tendo likifanyika, na baada ya uzinifu kama huyu mwanamke sio mke wa mtu, aliyemzini anaruhusiwa kumuoa, akimuoa, kesi inaishia hapo!.

Kama ni mke wa mtu, uzinifu anapaswa kwenda kwa mumewe na jambia, kumuomba msamaha mwenye mke kwa kumpa jambia na kumwambia kichwa changu halali yako, mwenye mke akimsamehe, kesi hiyo huishia hapo!.

Niko very interested kujua details za hii kesi ya uzinifu ya Sheikh wa Dar es Salaam, ila masheikh wa Dar!, nakumbuka kama Alhad Musa, naye alifutwa ushekhe wa mkoa kwa kisa cha mke wa Dr. Mwaka!.

P
Huyo alikua mkewe, hakuna uzinifu hapo
Sheria ya uislam/Quran ni mzinzi kupigwa bakora mia tu bila ya kushikwa na huruma juu yake, yaani tandika haswa
Baada ya ushahidi kukamilika wa watu wanne walioshuhudia ikiingia na kutoka na si kuwaona wakitoka gesti au vichakani
Habari za kwenda na jambia kwa mwenye mke uliyezini nae umkabidhi jambia kisha umwambie nimezini na mkeo si sharia
 
Kwenye Uislamu sio kila kitu ni sharia, kuna vitu vingine ni sunna, kuna hadithi za Mtume Muhammad Sallah Allau Aley Wasalaam (SAW) na masahaba na kuna vitu ni haramu lakini Muislamu anaruhusiwa kuvifanya vinaitwa makuruhu, hili neno tangu baada ya Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, sikuwahi kulisikia tena hili neno! makuruhu na mfano ni chakula chako mwenyewe, unaruhusiwa kujilia utakavyo!.
Hata kula nguruwe japo ni haramu, ikitokea hakuna chakula kingine chochote isipokuwa nguruwe, Muislamu anaruhusiwa kula tena anashauriwa achague aliyenona!.

P
 
Yule alikua mkewe,acha kurukia rukia mambo
Halafu hakuna sharia ya kupiga mawe wazinzi kwenye uislam(Quran),hiyo ni kwenye biblia huko,mmeingiziwa vitu vya kuwatoa kwenye Quran
Huyo alikua mkewe, hakuna uzinifu hapo
Sheria ya uislam/Quran ni mzinzi kupigwa bakora mia tu bila ya kushikwa na huruma juu yake, yaani tandika haswa
Baada ya ushahidi kukamilika wa watu wanne walioshuhudia ikiingia na kutoka na si kuwaona wakitoka gesti au vichakani
Habari za kwenda na jambia kwa mwenye mke uliyezini nae umkabidhi jambia kisha umwambie nimezini na mkeo si sharia
Mbona umegeuka ghafla kuwa mtetezi wa Sheikh? Kama alikuwa ni mkewe kwa nini sasa ametenguliwa nafasi yake ya Usheikh wa Mkoa? Ulishuhudia ndoa yao, au unaleta tu ujuaji?
 
Jana Baraza kuu la waislamu Tanzania lilimfuta kazi shekh Walid shekh wa mkoa wetu wa Dar es salam kwa tuhuma za uzinzi

Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh

Fanyenye hivi kwasababu nyie na yeye ndiyo mnapaswa kusimamia sheria hizi ambazo yeye amezivunja

Ombeni kibali serikalini cha kutekeleza sharia hii kwa udhuru maalumu lengo letu iwe fundisho kwa watumishi wa Mungu wazinzi wenye kuharibu msisha ya mabinti zetu.
Na roho mbaya unayo braza
 
Imethibitishwa wapi na nani? Tuanzie hapo kwanza
 
Kwani wezi na vibaka mnaowaponda mawe hadi kufa vibali huwa vinatolewa wapi au na serikali ipi? Ninyi kama mnaona ni sawa kutekeleza hiyo adhabu fanyeni kumtreat kama vile mnavyotreat wezi wa kawaida. Mshughulikieni ila sheria ikiwatia mikononi msije kulalamika.
 
Kwenye Uislamu sio kila kitu ni sharia, kuna vitu vingine ni sunna, kuna hadithi za Mtume Muhammad Sallah Allau Aley Wasalaam (SAW) na masahaba na kuna vitu ni haramu lakini Muislamu anaruhusiwa kuvifanya vinaitwa makuruhu
Unajua hata unachokiongea bro!?..yaani kitu kiwe Haram halafu mtu aruhusiwe kufanya!?
Makuruhu(vinavyotia karaha,kero) ni vitu si Haram kisheria ila vinakarahisha,mfano sigara
, hili neno tangu baada ya Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, sikuwahi kulisikia tena hili neno! makuruhu na mfano ni chakula chako mwenyewe, unaruhusiwa kujilia utakavyo!.
Hata kula nguruwe japo ni haramu, ikitokea hakuna chakula kingine chochote isipokuwa nguruwe, Muislamu anaruhusiwa kula tena anashauriwa achague aliyenona!.

P
Nguruwe inaruhusiwa kula kwenye situation kama ilivyokua Ethiopia miaka ya 90
 
Back
Top Bottom