BAKWATA mpeni adhabu ya kisharia shakh Walid Kawambwa hii itamsafisha na huu uchafu.

Tanzania sio nchi ya Kiislamu, it's a secular state, hatufuati sharia law, hivyo kwa mujibu wa sheria za nchi, kosa la uzinzi sio criminal offense ni crimes against morality, unless mhusika ni a minor!

Waislamu wanaruhusiwa kutumia sharia law kwenye family laws only, mambo ya ndoa, talaka, mirathi na wakfu only, makosa mengine yote sheria za nchi zinahusika.

Bahati mbaya sikuwahi kuisikia hii kesi ya uzinzi wa Sheikh wa mkoa, sharia ya Kiislamu inataka tukio hilo lishuhudiwe na watu wanaume wanne rijali, waapishwe kuwa walishuhudia kwa macho yao tendo likifanyika, na wameona ikiingia na ikitoka!, na baada ya uzinifu kama huyu mwanamke sio mke wa mtu, aliyemzini anaruhusiwa kumuoa, akimuoa, kesi inaishia hapo!.

Kama ni mke wa mtu, uzinifu anapaswa kwenda kwa mumewe na jambia, kumuomba msamaha mwenye mke kwa kumpa jambia na kumwambia kichwa changu halali yako, mwenye mke akimsamehe, kesi hiyo huishia hapo!.

Niko very interested kujua details za hii kesi ya uzinifu ya Sheikh wa Dar es Salaam, ila masheikh wa Dar!, nakumbuka kama Alhad Musa, naye alifutwa ushekhe wa mkoa kwa kisa cha mke wa Dr. Mwaka!.

P
Pia ukishimdwa kugoa ushahidi maana yake unatakiwa ulambwe fimbo 80, unahesabika umezulia watu. Mzinifu mwanaume au mwanamke aliyeoa au kuolewa hukumu ni kupigwa mawe hadi kifo. Yule ambaye hajaoa au kuolewa ni fimbo 100, fimbo hizo uso na nyeti tu ndiyo zinatakiwa zisiguswe.

Ila ukija suala la Sheikh hakuna mwenye ushahidi kama alizini au mwanamke alimuoa. Hatuwezi kutuhumu ni uzinifu suala hili limekaa kiutata zaidi na hata anayedai hakuolewa anajiuma sana, akibanwa kwa swali fulani kisa maelezo yaliyopita ndiyo anakuja na jipya mpaka unaona kwenye maelezo kuna vitu anaruka
 
Tanzania sio nchi ya Kiislamu, it's a secular state, hatufuati sharia law, hivyo kwa mujibu wa sheria za nchi, kosa la uzinzi sio criminal offense ni crimes against morality, unless mhusika ni a minor!

Waislamu wanaruhusiwa kutumia sharia law kwenye family laws only, mambo ya ndoa, talaka, mirathi na wakfu only, makosa mengine yote sheria za nchi zinahusika.

Bahati mbaya sikuwahi kuisikia hii kesi ya uzinzi wa Sheikh wa mkoa, sharia ya Kiislamu inataka tukio hilo lishuhudiwe na watu wanaume wanne rijali, waapishwe kuwa walishuhudia kwa macho yao tendo likifanyika, na wameona ikiingia na ikitoka!, na baada ya uzinifu kama huyu mwanamke sio mke wa mtu, aliyemzini anaruhusiwa kumuoa, akimuoa, kesi inaishia hapo!.

Kama ni mke wa mtu, uzinifu anapaswa kwenda kwa mumewe na jambia, kumuomba msamaha mwenye mke kwa kumpa jambia na kumwambia kichwa changu halali yako, mwenye mke akimsamehe, kesi hiyo huishia hapo!.

Niko very interested kujua details za hii kesi ya uzinifu ya Sheikh wa Dar es Salaam, ila masheikh wa Dar!, nakumbuka kama Alhad Musa, naye alifutwa ushekhe wa mkoa kwa kisa cha mke wa Dr. Mwaka!.

P
Pia ukishindwa kutoa ushahidi maana yake unatakiwa ulambwe fimbo 80, unahesabika umezulia watu. Mzinifu mwanaume au mwanamke aliyeoa au kuolewa hukumu ni kupigwa mawe hadi kifo. Yule ambaye hajaoa au kuolewa ni fimbo 100, fimbo hizo uso na nyeti tu ndiyo zinatakiwa zisiguswe.

Ila ukija suala la Sheikh hakuna mwenye ushahidi kama alizini au mwanamke alimuoa. Hatuwezi kutuhumu ni uzinifu suala hili limekaa kiutata zaidi na hata anayedai hakuolewa anajiuma sana, akibanwa kwa swali fulani kisa maelezo yaliyopita ndiyo anakuja na jipya mpaka unaona kwenye maelezo kuna vitu
 
Back
Top Bottom