Hili ni jukwaa la siasa,hayo ya shehe ungepeleka kunakotakiwaJana Baraza kuu la waislamu Tanzania lilimfuta kazi shekh Walid shekh wa mkoa wetu wa Dar es salam kwa tuhuma za uzinzi
Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh
Fanyenye hivi kwasababu nyie na yeye ndiyo mnapaswa kusimamia sheria hizi ambazo yeye amezivunja
Ombeni kibali serikalini cha kutekeleza sharia hii kwa udhuru maalumu lengo letu iwe fundisho kwa watumishi wa Mungu wazinzi wenye kuharibu msisha ya mabinti zetu.
Tanzania sio nchi ya Kiislamu, it's a secular state, hatufuati sharia law, hivyo kwa mujibu wa sheria za nchi, kosa la uzinzi sio criminal offense ni crimes against morality, unless mhusika ni a minor!Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh
Wewe Mzee bhana.....Niko very interested kujua details za hii kesi ya uzinifu ya Sheikh wa Dar es Salaam, ila masheikh wa Dar!, nakumbuka kama Alhad Musa, naye alifutwa ushekhe wa mkoa kwa kisa cha mke wa Dr. Mwaka!.
Mtu hahukumiwi bila kusikilizwa kwanzaJana Baraza kuu la waislamu Tanzania lilimfuta kazi shekh Walid shekh wa mkoa wetu wa Dar es salam kwa tuhuma za uzinzi
Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh
Fanyenye hivi kwasababu nyie na yeye ndiyo mnapaswa kusimamia sheria hizi ambazo yeye amezivunja
Ombeni kibali serikalini cha kutekeleza sharia hii kwa udhuru maalumu lengo letu iwe fundisho kwa watumishi wa Mungu wazinzi wenye kuharibu msisha ya mabinti zetu.
Yule alikua mkewe,acha kurukia rukia mamboJana Baraza kuu la waislamu Tanzania lilimfuta kazi shekh Walid shekh wa mkoa wetu wa Dar es salam kwa tuhuma za uzinzi
Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh
Fanyenye hivi kwasababu nyie na yeye ndiyo mnapaswa kusimamia sheria hizi ambazo yeye amezivunja
Ombeni kibali serikalini cha kutekeleza sharia hii kwa udhuru maalumu lengo letu iwe fundisho kwa watumishi wa Mungu wazinzi wenye kuharibu msisha ya mabinti zetu.
Huyo alikua mkewe, hakuna uzinifu hapoTanzania sio nchi ya Kiislamu, it's a secular state, hatufuati sharia law, hivyo kwa mujibu wa sheria za nchi, kosa la uzinzi sio criminal offense ni crimes against morality, unless mhusika ni a minor!
Waislamu wanaruhusiwa kutumia sharia law kwenye family laws only, mambo ya ndoa, talaka, mirathi na wakfu only, makosa mengine yote sheria za nchi zinahusika.
Bahati mbaya sikuwahi kuisikia hii kesi ya uzinzi wa Sheikh wa mkoa, sharia ya Kiislamu inataka tukio hilo lishuhudiwe na watu wanaume watatu rihali, waapishwe kuwa walishuhudia tendo likifanyika, na baada ya uzinifu kama huyu mwanamke sio mke wa mtu, aliyemzini anaruhusiwa kumuoa, akimuoa, kesi inaishia hapo!.
Kama ni mke wa mtu, uzinifu anapaswa kwenda kwa mumewe na jambia, kumuomba msamaha mwenye mke kwa kumpa jambia na kumwambia kichwa changu halali yako, mwenye mke akimsamehe, kesi hiyo huishia hapo!.
Niko very interested kujua details za hii kesi ya uzinifu ya Sheikh wa Dar es Salaam, ila masheikh wa Dar!, nakumbuka kama Alhad Musa, naye alifutwa ushekhe wa mkoa kwa kisa cha mke wa Dr. Mwaka!.
P
Kwenye Uislamu sio kila kitu ni sharia, kuna vitu vingine ni sunna, kuna hadithi za Mtume Muhammad Sallah Allau Aley Wasalaam (SAW) na masahaba na kuna vitu ni haramu lakini Muislamu anaruhusiwa kuvifanya vinaitwa makuruhu, hili neno tangu baada ya Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, sikuwahi kulisikia tena hili neno! makuruhu na mfano ni chakula chako mwenyewe, unaruhusiwa kujilia utakavyo!.Huyo alikua mkewe, hakuna uzinifu hapo
Sheria ya uislam/Quran ni mzinzi kupigwa bakora mia tu bila ya kushikwa na huruma juu yake, yaani tandika haswa
Baada ya ushahidi kukamilika wa watu wanne walioshuhudia ikiingia na kutoka na si kuwaona wakitoka gesti au vichakani
Habari za kwenda na jambia kwa mwenye mke uliyezini nae umkabidhi jambia kisha umwambie nimezini na mkeo si sharia
Yule alikua mkewe,acha kurukia rukia mambo
Halafu hakuna sharia ya kupiga mawe wazinzi kwenye uislam(Quran),hiyo ni kwenye biblia huko,mmeingiziwa vitu vya kuwatoa kwenye Quran
Mbona umegeuka ghafla kuwa mtetezi wa Sheikh? Kama alikuwa ni mkewe kwa nini sasa ametenguliwa nafasi yake ya Usheikh wa Mkoa? Ulishuhudia ndoa yao, au unaleta tu ujuaji?Huyo alikua mkewe, hakuna uzinifu hapo
Sheria ya uislam/Quran ni mzinzi kupigwa bakora mia tu bila ya kushikwa na huruma juu yake, yaani tandika haswa
Baada ya ushahidi kukamilika wa watu wanne walioshuhudia ikiingia na kutoka na si kuwaona wakitoka gesti au vichakani
Habari za kwenda na jambia kwa mwenye mke uliyezini nae umkabidhi jambia kisha umwambie nimezini na mkeo si sharia
Kwani hiyo Sheria yenu inasema hadi iwe Dola ya kiislam ndo itekelezwe?Haiwezekani maana hii sio dola ya kiislamu na wakifanya hivyo watakuwa wamefanya dhambi ya uuaji
NdiyoKwani hiyo Sheria yenu inasema hadi iwe Dola ya kiislam ndo itekelezwe?
Na roho mbaya unayo brazaJana Baraza kuu la waislamu Tanzania lilimfuta kazi shekh Walid shekh wa mkoa wetu wa Dar es salam kwa tuhuma za uzinzi
Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh
Fanyenye hivi kwasababu nyie na yeye ndiyo mnapaswa kusimamia sheria hizi ambazo yeye amezivunja
Ombeni kibali serikalini cha kutekeleza sharia hii kwa udhuru maalumu lengo letu iwe fundisho kwa watumishi wa Mungu wazinzi wenye kuharibu msisha ya mabinti zetu.
Imethibitishwa wapi na nani? Tuanzie hapo kwanzaJana Baraza kuu la waislamu Tanzania lilimfuta kazi shekh Walid shekh wa mkoa wetu wa Dar es salam kwa tuhuma za uzinzi
Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh
Fanyenye hivi kwasababu nyie na yeye ndiyo mnapaswa kusimamia sheria hizi ambazo yeye amezivunja
Ombeni kibali serikalini cha kutekeleza sharia hii kwa udhuru maalumu lengo letu iwe fundisho kwa watumishi wa Mungu wazinzi wenye kuharibu msisha ya mabinti zetu.
Unajua hata unachokiongea bro!?..yaani kitu kiwe Haram halafu mtu aruhusiwe kufanya!?Kwenye Uislamu sio kila kitu ni sharia, kuna vitu vingine ni sunna, kuna hadithi za Mtume Muhammad Sallah Allau Aley Wasalaam (SAW) na masahaba na kuna vitu ni haramu lakini Muislamu anaruhusiwa kuvifanya vinaitwa makuruhu
Nguruwe inaruhusiwa kula kwenye situation kama ilivyokua Ethiopia miaka ya 90, hili neno tangu baada ya Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, sikuwahi kulisikia tena hili neno! makuruhu na mfano ni chakula chako mwenyewe, unaruhusiwa kujilia utakavyo!.
Hata kula nguruwe japo ni haramu, ikitokea hakuna chakula kingine chochote isipokuwa nguruwe, Muislamu anaruhusiwa kula tena anashauriwa achague aliyenona!.
P