Bakwata ni taasisi ya serikali yeye viongozi wa kiislamu

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Uisalam utabaki kuwa uisalam.
Uisalam hauna mambo mengi kama watu wanavyodhani na kuongopeana ingekuwa inafuatwa Quaran .
Kila kitu kingekuwa sawa.

📌 waislamu wengi hawapendi kusoma wako bize ila ndo kama yanayotokea .. unaweza ukajua kusoma na kuandika ila kupata maarifa nikitu kingine.
.... Viongozi wa bakwata wenyewe hawako sawa sembuse waumini.
 
Hivi hii taasisi kuna watu huwa wanaichukulia siliasi kabisa?
 
Kwanini kisichukuliwe serious wakati ndio chombo pekee cha kudumu cha kuratibu,kusimamia na kuongoza shughuli zote za waislamu nchini Kwa mujibu wa Katiba yake ya 1999 toleo la 2018
 
Mbona Waislamu wa shia wako kivyao, bohola sijui bohora wako kivyao. Sijui Waislamu wa ismailiya wako kivyao. Sijui waislam amadiya wako kivyao.

Mimi naona bakwata wanasimamia waislamu wasunni wakiswahili kina adriz na Accumen Mo
 
Hao ulio taja huenda kweli wakafanya mambo kivyao.

Lkn je kipi ni chombo ambacho kinatambulika kisheria?
 
Uisalam utabaki kuwa uisalam.
Uisalam hauna mambo mengi kama watu wanavyodhani na kuongopeana ingekuwa inafuatwa Quaran .
Kila kitu kingekuwa sawa.

📌 waislamu wengi hawapendi kusoma wako bize ila ndo kama yanayotokea .. unaweza ukajua kusoma na kuandika ila kupata maarifa nikitu kingine.
.... Viongozi wa bakwata wenyewe hawako sawa sembuse waumini.
Tunataka BALUKTA irejeshwe
 
Mbona Waislamu wa shia wako kivyao, bohola sijui bohora wako kivyao. Sijui Waislamu wa ismailiya wako kivyao. Sijui waislam amadiya wako kivyao.

Mimi naona bakwata wanasimamia waislamu wasunni wakiswahili kina adriz na Accumen Mo
Hamna madhehebu hao unaowataja sijui kama unawajua?

Sote ni wamoja ila kama BAKWATA ni chombo chetu ni hima kuwe na usimamizi haswa wa sheria husika pamoja na kutekeleza sheria zote..

Hatuko upande tofauti na BAKWATA ila wanavyoenda Inakuwa ni kama hawapo kutekeleza sheria muhimu na zote kweny uislamu .
Tunapoenda pale kilipo kifanyiwe improvements zaidi ili kufikia lengo ,hatukuwahi kuwa against na BAKWATA ila wao ndo wanaenda against na uislamu mda fulani .
 
No no no no. Mnachukiana na kuuana licha ya huyo mungu wenu mmoja mwarabu.
 
Uisalam utabaki kuwa uisalam.
Uisalam hauna mambo mengi kama watu wanavyodhani na kuongopeana ingekuwa inafuatwa Quaran .
Kila kitu kingekuwa sawa.

[emoji419] waislamu wengi hawapendi kusoma wako bize ila ndo kama yanayotokea .. unaweza ukajua kusoma na kuandika ila kupata maarifa nikitu kingine.
.... Viongozi wa bakwata wenyewe hawako sawa sembuse waumini.
umeanza kuwatukana bawata kisha waumini wewe uelewa wako mdogo hakuna muisilamu anae weza kujichanganya serikalini serikali haina dini kazi yake kuhalalisha haramu na kuharamisha halili muisilamu akijiunga kwenye kundi hili tayali anakuwa kaasi dini
 
Uisalam utabaki kuwa uisalam.
Uisalam hauna mambo mengi kama watu wanavyodhani na kuongopeana ingekuwa inafuatwa Quaran .
Kila kitu kingekuwa sawa.

📌 waislamu wengi hawapendi kusoma wako bize ila ndo kama yanayotokea .. unaweza ukajua kusoma na kuandika ila kupata maarifa nikitu kingine.
.... Viongozi wa bakwata wenyewe hawako sawa sembuse waumini.
Watu waache kusoma historia ya waliofanya babu zao katika koo na makabila Yao,wakasome walichokifanya mabubu wa waarabu na Mila zao?

Mungu aliumba Kila jamii kama taasisi inayojitegemea, aliipa Kila kitu tofauti na jamii nyingine kama Mila, desturi, lugha,maandishi , vyakula , Mavazi. Kitendo Cha kuacha alichokupa wewe unakwenda kukariri alichowapa waarabu au wayahudi ni uzwazwa
 
umeanza kuwatukana bawata kisha waumini wewe uelewa wako mdogo hakuna muisilamu anae weza kujichanganya serikalini serikali haina dini kazi yake kuhalalisha haramu na kuharamisha halili muisilamu akijiunga kwenye kundi hili tayali anakuwa kaasi dini
Unabisha kwa kujua au umekoment.. me
 
Back
Top Bottom