Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Mbona Waislamu wa shia wako kivyao, bohola sijui bohora wako kivyao. Sijui Waislamu wa ismailiya wako kivyao. Sijui waislam amadiya wako kivyao.Kwanini kisichukuliwe serious wakati ndio chombo pekee cha kudumu cha kuratibu,kusimamia na kuongoza shughuli zote za waislamu nchini Kwa mujibu wa Katiba yake ya 1999 toleo la 2018
Hao ulio taja huenda kweli wakafanya mambo kivyao.Mbona Waislamu wa shia wako kivyao, bohola sijui bohora wako kivyao. Sijui Waislamu wa ismailiya wako kivyao. Sijui waislam amadiya wako kivyao.
Mimi naona bakwata wanasimamia waislamu wasunni wakiswahili kina adriz na Accumen Mo
Tunataka BALUKTA irejeshweUisalam utabaki kuwa uisalam.
Uisalam hauna mambo mengi kama watu wanavyodhani na kuongopeana ingekuwa inafuatwa Quaran .
Kila kitu kingekuwa sawa.
π waislamu wengi hawapendi kusoma wako bize ila ndo kama yanayotokea .. unaweza ukajua kusoma na kuandika ila kupata maarifa nikitu kingine.
.... Viongozi wa bakwata wenyewe hawako sawa sembuse waumini.
Hamna madhehebu hao unaowataja sijui kama unawajua?Mbona Waislamu wa shia wako kivyao, bohola sijui bohora wako kivyao. Sijui Waislamu wa ismailiya wako kivyao. Sijui waislam amadiya wako kivyao.
Mimi naona bakwata wanasimamia waislamu wasunni wakiswahili kina adriz na Accumen Mo
No no no no. Mnachukiana na kuuana licha ya huyo mungu wenu mmoja mwarabu.Hamna madhehebu hao unaowataja sijui kama unawajua?
Sote ni wamoja ila kama BAKWATA ni chombo chetu ni hima kuwe na usimamizi haswa wa sheria husika pamoja na kutekeleza sheria zote..
Hatuko upande tofauti na BAKWATA ila wanavyoenda Inakuwa ni kama hawapo kutekeleza sheria muhimu na zote kweny uislamu .
Tunapoenda pale kilipo kifanyiwe improvements zaidi ili kufikia lengo ,hatukuwahi kuwa against na BAKWATA ila wao ndo wanaenda against na uislamu mda fulani .
Umewataja tena wanachukiana jinsi wenyewe wakijiaminisha hakuna ainaMbona Waislamu wa shia wako kivyao, bohola sijui bohora wako kivyao. Sijui Waislamu wa ismailiya wako kivyao. Sijui waislam amadiya wako kivyao.
Mimi naona bakwata wanasimamia waislamu wasunni wakiswahili kina adriz na Accumen Mo
Quran basiHao ulio taja huenda kweli wakafanya mambo kivyao.
Lkn je kipi ni chombo ambacho kinatambulika kisheria?
Hamna kitu kama icho!No no no no. Mnachukiana na kuuana licha ya huyo mungu wenu mmoja mwarabu.
KipoHamna kitu kama icho!
umeanza kuwatukana bawata kisha waumini wewe uelewa wako mdogo hakuna muisilamu anae weza kujichanganya serikalini serikali haina dini kazi yake kuhalalisha haramu na kuharamisha halili muisilamu akijiunga kwenye kundi hili tayali anakuwa kaasi diniUisalam utabaki kuwa uisalam.
Uisalam hauna mambo mengi kama watu wanavyodhani na kuongopeana ingekuwa inafuatwa Quaran .
Kila kitu kingekuwa sawa.
[emoji419] waislamu wengi hawapendi kusoma wako bize ila ndo kama yanayotokea .. unaweza ukajua kusoma na kuandika ila kupata maarifa nikitu kingine.
.... Viongozi wa bakwata wenyewe hawako sawa sembuse waumini.
tangu lini marabu akawa munguHamna kitu kama icho!
Watu waache kusoma historia ya waliofanya babu zao katika koo na makabila Yao,wakasome walichokifanya mabubu wa waarabu na Mila zao?Uisalam utabaki kuwa uisalam.
Uisalam hauna mambo mengi kama watu wanavyodhani na kuongopeana ingekuwa inafuatwa Quaran .
Kila kitu kingekuwa sawa.
π waislamu wengi hawapendi kusoma wako bize ila ndo kama yanayotokea .. unaweza ukajua kusoma na kuandika ila kupata maarifa nikitu kingine.
.... Viongozi wa bakwata wenyewe hawako sawa sembuse waumini.
Wapi mwarabu ni Mungu?tangu lini marabu akawa mungu
Unabisha kwa kujua au umekoment.. meumeanza kuwatukana bawata kisha waumini wewe uelewa wako mdogo hakuna muisilamu anae weza kujichanganya serikalini serikali haina dini kazi yake kuhalalisha haramu na kuharamisha halili muisilamu akijiunga kwenye kundi hili tayali anakuwa kaasi dini